Wanawake na magroup ya WhatsApp

Ahhahahaha,nilikumiss pia jimmie
Nadhani umetusemea bila kutuonea
 
Magrup ni nini ??

Na whatsapp ndo wap??

Nataman nifike huko ...

Nione picha zinavyorushwa ...

Ntumie maelekezo ya nauli na mabasi ya kufika huko ..
 
Isingekua group la kazini nahisi nisingekua na group lenye mchanganyiko wa jinsia!!

Magroup ya watu waliosoma pamoja shule ya msingi, sekondari na vyuo mengi naona yanapelekea watu kufanya uhuni tu
Uhuni ni tabia ya mtu sio group au eneo
 
Grp la Michezo lakini wao wanafanya la Mitongozo.
Sisi tunajadili perfomance ya Martial mech tano mfululizo kufunga anakuja kurupia picha zake tano mfululizo huku kabinuka.
Yan wadada full kero mpaka unatongoza kila dada kama kuku tu anapanda bila kuomba.
 
Tatizo nyie maskini kelele nyingi sababu ya stress hivyo hamna hela , njoo kwenye hekalu langu hapa Bunju wamejaa watoto wakali
 
Isingekua group la kazini nahisi nisingekua na group lenye mchanganyiko wa jinsia!!

Magroup ya watu waliosoma pamoja shule ya msingi, sekondari na vyuo mengi naona yanapelekea watu kufanya uhuni tu
Kwanza inafikaga mahali hata story zinaishaga humo kwenye group
 
Nimempa hela za korosho ndugu yenu ....


Sema natafta mtu wa kumwajir anitypie text ...

Maana mikono inachoka sana ...

Nakupa hii dola laki moja ukimpata ...
Mtafute dogo fulani hivi anaitwa Da'Vinci hana ajira mara miojaoja namleta Bunjukunibrashia viatu kisha namlipa km dola 500 hivi ni mchapakazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…