Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #61
Ahhahahaha,nilikumiss pia jimmienilikumiss dada angu..... wanawake wengi wanapenda attention....
yani akiwa sehemu yenye mchanganyiko na wanaume na asipotongozwa anaona kama kuna kitu kinamiss kwahyo atautafuta mtongozo kwa hali na mali
hadi huwa najiuliza hivi wanawake wanajipima uzuri kwa idadi ya mitongozo au
Nadhani umetusemea bila kutuonea