Wanawake na magroup ya WhatsApp

Nina euro 10000 sijaitumia ..

Tumpe kama advance ...

Huyo da vinci tumpe car washing..na shoe polishin

Ila mkuu nna njaa kinoma nimesahau credit home unaweza nisaidia dola mia nchukue vitumbua viwili hapa cafe
Hizo Cafe za vvichochoroni utapata kipindupindu dogo nenda pale Kilimanjaro Kempinski nakuja kulipa
 
Hahahahaha ndicho nakisema hapa
 
Inashangaza sana aisee mtu anarusha tu mipicha yake sijui nani kasema anaitaka. Pia kuna wale wa 'samahani nimekosea kuna sehemu nilikuwa narusha'
 
Wanauhuru na maisha yao ...waache tu watume ..yakiwakuta yakuwakuta yanawakuta wao
 
Mbaya zaidi wengine ni wake za watu...hv nyie wanawake mna nn hasa kinachowasumbua ???
Kuna mmoja alikuwa anapenda huyo kurusha picha halafu na mumewe yupo kwenye grouo nikawa najisemea wanawake wengine wamebahatika kupata wanaume waelewa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…