Wanawake na matumizi ya Bamia kuongeza 'Utelezi'

Wanawake na matumizi ya Bamia kuongeza 'Utelezi'

1.kuisha Kwa Ute ni kwasababu mnaweka acid kwenye uke ili uke ubane Sasa Ile acid inapenda kuuwa bacteria wanaotengeneza huo Ute na ndio inakuwa mkavu .

Ushauri wadada jipendeni sio mnahangaika bila mafanikio mtakuja kufa buree .

Kama mtu anakupenda sana atakupa jinsi ulivyoo acheni kiwa desperate.

Maisha ndio hayoo mtu kazi .

Hakuna bakteria wanao tengeneza ute kwenye mbususu,hao kazi yao ni kulinda uke,ute wa mbususu unatengenezwa na kuta za shingo ya kizazi.
 
Back
Top Bottom