Wanawake na tabia ya kutusogezea makalio kwenye usafiri wa umma

Wanawake na tabia ya kutusogezea makalio kwenye usafiri wa umma

Muhimu Sana Kabla ujaomba number inabidi usome mazingira kwanza unaweza aibika kumbe mume wake yupo maeneo hayo.
Yule nilikua nina uhakika yulo alone maana hata anavyopanda alikua na shost ake tu sema akanikuta niko mlangon napiga stori na mwamba mmoja ambae tumekutana tu humo humo ndio huyo akaniwahi, alipoingia manz akanilia buyu ghafla
 
Back
Top Bottom