harakati za siri
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,074
- 2,870
Barikiwa sana ,,nilitakiwa Leo jioni nikupe Mtoko wa nguvu !!.Utii wa mke kwa mume aliyempenda hadi akaamua kumuoa ndio furaha ya ndoa
Utii sio ombi ni sheria ya ndoa
Wakolosai 3:18-19
"Enyi wake, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo Bwana. Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali kwao."
Kama huwezi waache wanaoweza ndio waolewe, wewe kafanye mambo mengine
Pesa na elimu vikae mbali na ndoa jamaniUmewapiga za Uso , kazi yao imebaki kuwageuza Wanawake wenzao kama fursa, ett kiimgilio Cha Warsha "Laki Moja "...wahi sasa, tiketi ni chache.
Anayeenda kuwafundisha ni janamke gumegume, liloshindwa Ndoa miaka Kadhaa Kwa tabia zake za uchepukaji na ubishi ,lisilotii na pengine hata limekeketwa, linaenda Gym na kufanya mazoezi mazitoo matokeo yake Oestrogen imeshukaa, limekua na ongezeko la Testosterone Sasa limejikuta Lina mitabia ya Kiume ila linavaa mavazi ya kike.
Jingine unalikuta kisa lilisoma, au lilipata kazi mapema, au Kwa michongo michongo au hata kama ni Kwa uhalali basi kisa halimchi Mungu, alafu kikawa financially stable, na Lina Elimu .... Limejikuta halitulii na Wanaume, kwakua sisi wanaume tunapenda mwanamke mnyenyekevu ,basi limechagua kuzaa tuuu ili lilee lenyeweee na hatima yake limetuongezea watoto wa kiume mashoga na ambao wanajiita mashoga Hadi kwenye mitandao jamii!!
Nalo linakuja na "Akina Mama, tukutane Ukumbi pale Mliman city tarehe 31/3/2023 ,kiingilio Laki na Hamsini, tutakula na kuongea mambo ya Ndoa "
Ndoa ya Nyokooo !!! Mmetuharibia Wake za kuoa, mmewafunza ujinga na ujeuri , mwanamke hajui kupika, hajui hata kumnyoosha nguo, achilia mbali hata kupanga vitu Ndani hajui. Janamke ni Saloon, makope bandia, makucha bandia, kujipodoaaaa weeee, Hilo kazini !!
Oyaa, Mkikutana na Demu wa Ivo. Kuleni mbususu mara kadha wa kadhaa alafu msioe,, kuoa oeni wanawake wenye uanamke ndani mwao, wenye hofu ya mungu, wanawake ambao watawalelea watoto wa kiume anakua mwanaume, wakike anakua mwanamke.
Tena, zile familia mnazokuta mwanamke ni mwanaharakati, msithubutu kuoa kwenye hiyo miji.,achen akae na mabinti zake, wamzalie hapohapo, alee wajukuu hapohapo.
Mahitaji ya Mwanaume ni
[emoji117]Heshima ....( Na hili Maandiko matakatifu yameliwela wazi, Heshima Kwa Mwanaume akiipata Toka Kwa mwanamke wake anajihisi ni Mfalme anayemiliki Dunia nzima)
[emoji117]Upendo ( hapa mwanaume anataka aone una mchagulia nguo yankuvaa? Unampikia? Unamwambia umependeza ? Unamshauri ? ...mambo haya sisi wanaume ndio tunayatafasiri kama Upendo yaaan "Mwanamke wangu ananipenda sana aiseee unakuta ananipikia, ananinyooshea nguo, atanipangia nguo za kuvaaa " ,sisi wanaume hapo tunaona ndio tunapendwaaaaaa
[emoji117]Mapenzi , mwanaume yoyote asokua na tatizo la nguvu za kiume, na anakula anashiba anakunywa Maji maji yanenda mpaka kwenye kucha za miguu, Hana stress, hata kama anastress, wee Moe mbususu, nipe mbususu ,nipe mbususu nipe mbususu mpaka mwenyewe niwe naikwepa "
Thanks kupiga nyundo!!! kabisaa yaani Mimi hua pia nawaambiaga tujifunze kwa waliofaulu sio Kila mwanamme mbaya na sio Kila ndoa mbaya,zipo ndoa nzuri Tena both male and female Wana pesa but wanaheshimianaKabisa ulichonena, wasituharibie watoto wetu wa kike eti ooh hamsini kwa hamsini, ukiwa na pesa tu mwanaume Hana lolote kwako. Heshima ndo kitu muhimu na silaha kubwa kwa mwanamke. Haijalishi una pesa au hauna pesa, siku zote mwanamke ni mwanamke tu. Kila mtu atimize majukumu yake kama mwanamke na kama mwanaume. Akiona ndoa imemshinda manyanyaso na mateso, ni marufuku kuyavumilia, ana haki ya kusogea taratibu na kwenda kulea watoto wake. Tuwaachie wanaume majukumu yao, na ukiona jukumu lake limemshinda na hauwezi kumvumilia, sogea taratibu bila makelele bila kutembeza sumu kwa watoto wetu wa kike. Super woman, strong woman bullshit.
Mtu ndoa yake imemshinda, yeye atakuelekeza Nini ww mtoto wa kike ukapata mawaidha njema. Mtoto wa kike chukua elimu kutoka kwa yule ndoa ameiweza, na anaishi kama mwanamke na ndoa yake Ina furaha. Lakini lijitu Lina taraka halafu ooh nisikilizeni mabinti ww ni super woman, mwanaume asikuchanganye, akirudi saa tano usiku na ww kesho Rudi saa Saba usiku. Akichepuka na Asha na ww kesho chepuka na Juma., Upumbavu. Mwanamke anasifika kwa heshima na maamuzi yenye busara katika ndoa yake.
Kwa mtu mwenye elimu na mihela yake na umri wake n ngumu sana kukuelewa ila ulichosema n kweli tupu.Assalamualaikum nnawatakia mifungo mema.
Dear girl child kama una malengo ya kuolewa ukae ukijua mwanaume ni kiongozi wa familia aliumbwa yeye ikapita miaka 40 ndo ukatolewa ubavu wake akaumbwa mwanamke. Mungu fundi hakuna sababu ya kuumba sote wawili mmoja ametokana na mwenziwee awe msaidizi wake, hizi feminists activities zinazoendelea ni kuharibu mpango wa Mungu.
Hakuna usawa kati ya mke na Mume isipokua katika kuutafuta ufalme wa mbinguni au kujua lengo la kuumbwa na namna ya kulifikia. Nyie mastrong sijui super woman msituharibie watoto wetu wa kike, asili ya mke ni heshima, mwanaume ni kiongozi wa mwanamke.
Tena siye waislam tunaambiwa kabisa Pepo yako iko kwa mumeo, kumtii mumeo ndo lango la wewe kuiona falme ya Mungu, haijalishi ni kibe10, kizee kikongwe whatever huyo Mume alivo mradi tu anawajaibika kama Mume na anabeba majukumu yake ya kiunaume.
Kuna Wanawake wakiwa nje wanapondea ndoa ila wakiwa Kwa waume zao wanatulia tulii wanafanya majukumu yao mpaka baasi ukiwasikiliza unapotea. Za kuambiwa changanya na zako, ewe mtoto wa kike
Kwenye ndoa hakuna kutoa taarifa kuna kuomba ruhusa Kwa mume, kwenye ndoa hakuna mashindani kuna maelewano.
Sijui lengo la wanaharakati wa ndoa ni lipi. Binti kama anapigiwa, anadhalilka na kufanyiwa unyama hapa hata akiresist ni sawa na ni bora talaka kuliko kuuana.
Wanaharakati wamezalisha kizazi cha wanawake wachepukaji, tusio walezi wazuri, waongo na unaafiki mwingi tunajifanya tunashinda kwenye nyumba za Ibada ila tuna machafu kibao. Ingawa Toka zamani uchepukaji ulikuwepo kwa jinsia ke ila Sasa imezidi tena sio Siri tena.
Kwa Sasa jamii zina macho lakini hazioani, zina masikio lakini hazisikii. Ifike mahala wanawake tujitambue na ktk kujitambua sio kudharau ndoa yako, hiyo ni dhambi kubwa sana tunafanya. Shida iliyopo wanaume wengi siku hizi wanakimbia majukumu yao ya ubaba na ulezi ni sperm donors tu, ila hiyo haifanyi sababu ya mwanamke awe juu.
Ukiona umeshindwa toka, Kaa pembeni lea watoto wako vizuri kabisaa kuliko kuishi na mtu asiyejitambua
Ila kama umepata mwenza muungwana mstaarabu mheshimu, mpende na jengeni familia yenu vizuri, achaneni na wanaharakati uchwara wenye stress na maisha yao.
Ndoa ni kitu kizuri na baraka Kwa wenye akili na uelewa tu.
Ahsante mama D kabisaa yaani kizazi chetu ht dini hatufatiUtii wa mke kwa mume aliyempenda hadi akaamua kumuoa ndio furaha ya ndoa
Utii sio ombi ni sheria ya ndoa
Wakolosai 3:18-19
"Enyi wake, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo Bwana. Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali kwao."
Kama huwezi waache wanaoweza ndio waolewe, wewe kafanye mambo mengine
Ndiooo wengine wanawapoteza, lkn yeye Ndani ananyweaaaaa kama chlorpheniramine ( Piriton).Pesa na elimu vikae mbali na ndoa jamani
Tunajazana ujinga nowdays mnoo....ila Kuna mwanamke kaolewa ukute anapowachonja wenziwe wasihudumie Waume zao Sasa!!!hahahaaa yeye kwake mpolee
Siku Moja shoga angu akaniambia weee!!!!twende kwake Fulani tumekuta anapika mmewe kaja kampokea vzr
Mzeee Sina hamu ,akaniambia za kuambiwa changanya na zako huyuu mnaafiki ukimsikia anavyopotosha wenziweee sasa
Mimi naumia kuona tunapotoshwa na tunakubali kizembeHaya mashirika yanayo jiita watetea haki za wanawake yanatakiwa kupingwa marufuku yanatuharibia watoto wa kike.
Uturuki ilishutuka ikajitoa kwenye mikataba ya kipuuzi ya kulinda sijui haki za wanawake.
Mm huwa nawashangaa watu wanavyo pondaga waarabu kwa kuweka udhibiti mkali dhidi ya wanawake.
Mwana mke ni kiumbe hatari sana ndani ya jamii asipo wekewa mipaka na kudhibitiwa ,hasa hawa wanawake wa kiafrika ambao wengi wao wamejaza matope vichwani badala ya ubongo.
Hata mungu aliye tuumba kwenye vitabu vyake vya dini ameweka sheria kali sana za kudhibiti wanawake lakini cha kushangaza ss tukajifanya tunawajua sana kuliko aliye waumba.
Na Kuna wanafuata ,Mimi ni mwanamke ila sio muumini wa 50/50 na siwasikilizagi wapuuziKuna Yale MAGUDUDE ya kipind cha dadaz
Yanaharibu Sana wasichana wanao sikiliza kile kipind..Nima feminist mengine yalishindikana big brother afrca
Ni ukosefu wa akili tu!juzi nimeoza mdogo wangu ,nikamuambia hivi wewe ni graduates ndoa haiendeshwi na uzungu GPA but Utii!!!Ndiooo wengine wanawapoteza, lkn yeye Ndani ananyweaaaaa kama chlorpheniramine ( Piriton).
Muwapuuze ,wapuuzieni mbali, muwakataeee waziwazi,. Msiwasupport kwenye mavipindi yaoo, wakataeni waziwazi .
Tenaa wambieni waziwazi, tumewachokaa, msituharibie Ndoa zetu