Wanawake ndoa ni utii, acheni kujaza ujinga wadogo zenu

Kabisa ulichonena, wasituharibie watoto wetu wa kike eti ooh hamsini kwa hamsini, ukiwa na pesa tu mwanaume Hana lolote kwako. Heshima ndo kitu muhimu na silaha kubwa kwa mwanamke. Haijalishi una pesa au hauna pesa, siku zote mwanamke ni mwanamke tu. Kila mtu atimize majukumu yake kama mwanamke na kama mwanaume. Akiona ndoa imemshinda manyanyaso na mateso, ni marufuku kuyavumilia, ana haki ya kusogea taratibu na kwenda kulea watoto wake. Tuwaachie wanaume majukumu yao, na ukiona jukumu lake limemshinda na hauwezi kumvumilia, sogea taratibu bila makelele bila kutembeza sumu kwa watoto wetu wa kike. Super woman, strong woman bullshit.

Mtu ndoa yake imemshinda, yeye atakuelekeza Nini ww mtoto wa kike ukapata mawaidha njema. Mtoto wa kike chukua elimu kutoka kwa yule ndoa ameiweza, na anaishi kama mwanamke na ndoa yake Ina furaha. Lakini lijitu Lina taraka halafu ooh nisikilizeni mabinti ww ni super woman, mwanaume asikuchanganye, akirudi saa tano usiku na ww kesho Rudi saa Saba usiku. Akichepuka na Asha na ww kesho chepuka na Juma., Upumbavu. Mwanamke anasifika kwa heshima na maamuzi yenye busara katika ndoa yake.
Umenena dada
 
Paragraph ya mwisho ndo mnaishia kufa kwa stress au kujiua.

Tiba ya usaliti ni KISASI.
 
Assalamualaikum nnawatakia mifungo mema.

Dear girl child kama una malengo ya kuolewa ukae ukijua mwanaume ni kiongozi wa familia aliumbwa yeye ikapita miaka 40 ndo ukatolewa ubavu wake akaumbwa mwanamke. Mungu fundi hakuna sababu ya kuumba sote wawili mmoja ametokana na mwenziwee awe msaidizi wake, hizi feminists activities zinazoendelea ni kuharibu mpango wa Mungu.

Hakuna usawa kati ya mke na Mume isipokua katika kuutafuta ufalme wa mbinguni au kujua lengo la kuumbwa na namna ya kulifikia. Nyie mastrong sijui super woman msituharibie watoto wetu wa kike, asili ya mke ni heshima, mwanaume ni kiongozi wa mwanamke.

Tena siye waislam tunaambiwa kabisa Pepo yako iko kwa mumeo, kumtii mumeo ndo lango la wewe kuiona falme ya Mungu, haijalishi ni kibe10, kizee kikongwe whatever huyo Mume alivo mradi tu anawajaibika kama Mume na anabeba majukumu yake ya kiunaume.

Kuna Wanawake wakiwa nje wanapondea ndoa ila wakiwa Kwa waume zao wanatulia tulii wanafanya majukumu yao mpaka baasi ukiwasikiliza unapotea. Za kuambiwa changanya na zako, ewe mtoto wa kike
Kwenye ndoa hakuna kutoa taarifa kuna kuomba ruhusa Kwa mume, kwenye ndoa hakuna mashindani kuna maelewano.

Sijui lengo la wanaharakati wa ndoa ni lipi. Binti kama anapigiwa, anadhalilka na kufanyiwa unyama hapa hata akiresist ni sawa na ni bora talaka kuliko kuuana.

Wanaharakati wamezalisha kizazi cha wanawake wachepukaji, tusio walezi wazuri, waongo na unaafiki mwingi tunajifanya tunashinda kwenye nyumba za Ibada ila tuna machafu kibao. Ingawa Toka zamani uchepukaji ulikuwepo kwa jinsia ke ila Sasa imezidi tena sio Siri tena.

Kwa Sasa jamii zina macho lakini hazioani, zina masikio lakini hazisikii. Ifike mahala wanawake tujitambue na ktk kujitambua sio kudharau ndoa yako, hiyo ni dhambi kubwa sana tunafanya. Shida iliyopo wanaume wengi siku hizi wanakimbia majukumu yao ya ubaba na ulezi ni sperm donors tu, ila hiyo haifanyi sababu ya mwanamke awe juu.

Ukiona umeshindwa toka, Kaa pembeni lea watoto wako vizuri kabisaa kuliko kuishi na mtu asiyejitambua
Ila kama umepata mwenza muungwana mstaarabu mheshimu, mpende na jengeni familia yenu vizuri, achaneni na wanaharakati uchwara wenye stress na maisha yao.

Ndoa ni kitu kizuri na baraka Kwa wenye akili na uelewa tu.
Hawasikii mpaka damu itoke masikioni hawa...
 
Yaani nijiue kisa mwanaume au mapenzi?!!never ever on earth dogooo!!!
Hakuna hicho kitu bwana
Kuachana kupo ila usitie sumu wenzako
Maana sio Kila ndoa chungu bwana
Dear mie nasemea kwenye usalitiiiiii,, usaliti hauna tiba zaidi ya kisasi, aidha kuachanaa

Ukitia ngumu ndo unaishia kufa kwa pressure au kujiua.
 
Heshima hailazimishwi, muhimu ni mawasiliano na upendo, ukiona baba anatoka analala nje siku mbili bila maelezo ya kutosha au mwanamke haagi kwa sababu jana mme hukuaga, hakuna ndoa hapo mnapoteza muda tuu na tafuta pa kutokea kabla hamjauana
 
Dear mie nasemea kwenye usalitiiiiii,, usaliti hauna tiba zaidi ya kisasi, aidha kuachanaa

Ukitia ngumu ndo unaishia kufa kwa pressure au kujiua.
Mmekuelewa dear!!!ila kujiua kaàhhh hapana!!
Excuse me
 
Nipo mdogo wangu, naona mmenyoosha maelezo kiasi kwamba inabidi tuwatakie ijumaa njema tu!
Tunakumbushana haswaa kipindi hiki Cha miezi ya Toba,tusichupe mipaka
 
Kabisa ulichonena, wasituharibie watoto wetu wa kike eti ooh hamsini kwa hamsini, ukiwa na pesa tu mwanaume Hana lolote kwako. Heshima ndo kitu muhimu na silaha kubwa kwa mwanamke. Haijalishi una pesa au hauna pesa, siku zote mwanamke ni mwanamke tu. Kila mtu atimize majukumu yake kama mwanamke na kama mwanaume. Akiona ndoa imemshinda manyanyaso na mateso, ni marufuku kuyavumilia, ana haki ya kusogea taratibu na kwenda kulea watoto wake. Tuwaachie wanaume majukumu yao, na ukiona jukumu lake limemshinda na hauwezi kumvumilia, sogea taratibu bila makelele bila kutembeza sumu kwa watoto wetu wa kike. Super woman, strong woman bullshit.

Mtu ndoa yake imemshinda, yeye atakuelekeza Nini ww mtoto wa kike ukapata mawaidha njema. Mtoto wa kike chukua elimu kutoka kwa yule ndoa ameiweza, na anaishi kama mwanamke na ndoa yake Ina furaha. Lakini lijitu Lina taraka halafu ooh nisikilizeni mabinti ww ni super woman, mwanaume asikuchanganye, akirudi saa tano usiku na ww kesho Rudi saa Saba usiku. Akichepuka na Asha na ww kesho chepuka na Juma., Upumbavu. Mwanamke anasifika kwa heshima na maamuzi yenye busara katika ndoa yake.
Aisee kama kwwli vile🤣🤣🤣🤣
Ila ngoja shetani awapatue pesa yote haya yanapotea.
Umeongea point sana. Kumbe una miakili hivi😲😲
 
Back
Top Bottom