Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

Ulichoeleza hapa ndio kitu nafahamu. Labda kwa wasiomjua vizuri mabeste wanaweza kumtetea. Ila jamaa alikuwa kama parasite. Mwanamke lazima achoke tu
 
Nataka nikuulize swali kaka, usha wahi kuuguza muda mrefu? Baba yangu na mama yangu walifirisika sababu ya kumuugiza mdogo wangu, mbona mama hakutembea na wana walio kua wana msaidia kipindi hicho? Mabeste alikua msanii unasemaje hakua na kazi na show alikua ana piga?
 
Mabeste alikuwa anapambana kuomba misaada kwajili ya huyo mwanamke. Alichoka ubishoo wote uliisha kumuuguza. Mi mwenyewe nilijiskiaga vibaya huyo mwanamke kumfanyia vile mabeste.
Kuna watu humu wanasema jamaa alikua parasite, yani kutegemea mkewe, wanachekesha sana, mtu ni mgonjwa hizo kazi alikua anafanyaje? Na kipindi hicho nani alikua anamlisha
 
Hivi nyinyi mshawahi kutana na wanaume wavivu hawaleti chochote mezani. Yeye anachojua ni kula kuomba vihela na kwenda bar kununua malaya. Huyo dada mwacheni tu kwa aliyopitia.
Dah mwanaume hajawahi kuwa na msaada duniani ebu ona wema wa mabeste umefichwa anaitwa mvivu mtu aliepambana demu aishi
 
Kuna tofauti ya mtu ambaye alikua responsible afu akaja akipitia kipindi cha matatizo, na mtu ambaye hakuwa responsible na bado akapata tatizo jipya,
Kwa mabeste , lisa kuumwa ni kama ilikua work up call, jamaa alijisahau sana, ndo maana lisa alivyoanza kuumwa jamaa alichanganyikiwa sababu hakua na emergency plan yoyote

Watu wanaomshangaa lisa kumuacha mabeste na kuolewa na rafiki wa mabeste, walitakiwa pia washangae lisa aliwezaje kuishi kwa kipindi kirefu akihudumia familia, akajilipia mahari na wakati mabeste yupo tuu
 
Bro inshu ya kujilipia mahali una uhakika nayo
 
Kwa hiyo mtu akisahau nafasi yake kama mwanaume,basi mwanamke anaamua kumsaliti na rafiki yake au sio??,halafu na ww unamalizia kwa kuonesha alichokifanya huyo mwanamke ni sawa au sio??
Kwa akili hizi vifo vinavyotokana na mapenzi havitakuja kuisha,alimukuta huyo Mabeste ni msataarabu_ingekuwa mie kifo kingemuhusu huyo mwanamke na huyo dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…