Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

Mkuu wewe ni mwanaume? Mathalani umekutana na mwanamke sehemu ukamwelewa na kumtongoza. Baadae unakuja kugundua ni mke wa mtu. Inawezekana ni mfano mgumu kwakua huyo jamaa alikua anajua kua huyo ni mke wa mshikaji wake lakini point yangu ni kwamba mwanamke ndo anaeweza kukuokoa kwenye hiyo kesi kwa tabia, msimamo na ukweli wake. Kuna jamaa wengi tu wamepita na wake za watu kwasababu tu ya ujinga na tamaa za wanawake wenyewe. Jamaa alizingua lakini hapo mwanamke anaponaje sasa? Kama aliweza kutoka na rafiki wa Mume wake ambae wanafahamiana fika, unaelewa maana yake? Kwakifupi mwanaume awe anajua ama hajui kama mwanamke kaolewa mtu wa kwanza kuepusha matatizo yote ni mwanamke. So uyo Dada haijalishi alivumilia madhaifu kiasi gani ya jamaa ila hizo sifa zote ulizompa zimeshushwa adi zero (0)kwa kukubali kutoka/ kuolewa na rafiki wa aliekua Mume wake. Swala la jamaa ni mjadala mwingine ambao code za kiume zinakataa moja kwa moja bila kumtetea.
 
Fact
 
Dada nijibu hili swali, hivi na wewe mumeo akiyumba kidogo tu uko radhi kusahula Kwa rafiki wa mumeo yani shemeji Yako, Kumpa tunda ale kisa kakupa msaada?
 
Kuolewa si MBAYA, ila tatizo kuolewa na mdogo ake mwanaume

Kumbe ndo mana alivo pata shida ni kama wana walimkaushia hivi badae ndo wakaona jahazi inazam Natumai amejifunza.

Kuolewa si MBAYA, ila tatizo kuolewa na mdogo ake mwanaume

Kumbe ndo mana alivo pata shida ni kama wana walimkaushia hivi badae ndo wakaona jahazi inazama
Natumai amejifunza

Hope Lisa pia ujana ulikuwa unamsumbua!
 
Dada nijibu hili swali, hivi na wewe mumeo akiyumba kidogo tu uko radhi kusahula Kwa rafiki wa mumeo yani shemeji Yako, Kumpa tunda ale kisa kakupa msaada?
Mnapenda kuyakuza kilamtu namaamuz yake pia ndoa zina mambomengi sana nilichokataa ni kuwajumuisha wanawake wote ikiwa wanaume ndio vinara wa usaliti alafu hamuoni sion mkijiongelea kuwa mnatembea hadi na ndugu wa wakezenu
 
Kwani nyie hamliwi na maboss zenu maofisini? Bodaboda, garden boy, wafanya kazi wenzenu, ndugu wa mume, mbona husemi hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…