Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

Na ikawe kwangu
 
Kumbe Huwa unaliwa dah! Inasikitisha sana aisee
Ukiandika habari tulia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€tukujumuisha hatutak mm sikuolewa na mabeste mbona tunawakopea wanaume hela na tunaachwa wanaenda kuzirumia na rafikizetu na hatulalamiki hatusemi wanaume kenge wala viumbe hatari kilamtu anapigwa kipande chake πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna tofauti kati ya Mke wa kujitafutia mwenyewe na Mke wa kupewa na Mungu
 
Kuna tofauti kati ya Mume wa kujitafutia mwenyewe na Mume wa kupewa na Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…