Wanawake ni viumbe wasioridhika, hakikisha asijue kipato chako

Hahaha
 
Hamna mwanamke hapo aloo kwanza unampa pesa nyingi sana watu wanapambana viwandani kusimama siku nzima wanalipwa buku 6 au saba we unampa 20 yote hiyo na bado analeta nyodo. Mwache arudi mtaani kwanza mwezi tu atarudi na magoti.
 
Nimpe 15, 20 kwa siku yupo kwao halipi kodi wala nn alafu nilete habari za care we ni chizi nini
Yani maajabu ni kuwa why ulikuwa unampa 12k kila siku na yupo kwao??????? Ingekuwa mke umemuoa sawa ila mwanamke yuko kwao alafu unafanya huo utahira maana ake una hela za kuchezeaa... Kopa uendelee kumpa maana ulikosea toka mwanzo kumzoesha kumpa hela ambazo hazina msingi yani kama huna matumizi nayo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Jaribu hii...

Mstopishe ghafla tuu kufika kwenye shughuli zako za kibiashara Kisha tafuta mtu wa kushika nafasi yake, akiuoiza kwa nini?....mwambie Kuna shida tuu mambo hayaendi sawa utamwita yakitulia.

Dhibiti ujii wake nyumbani kwako na punguza mawasiliano nae, akilalamika mwambie uko busy sana Kuna mambo hayako sawa unayarekebisha.

Sasa punguza au acha kabisa kumpa ile "posho ya kua wapenzi" akiomba unamkwepa akilalamika hana pesa muulize akiba yake ana malengo nayo gani?

Pamoja na ulimbukeni inaonekana huyo bint Hana elimu/ujanja juu ya matumizi ya pesa, usikute kulalamika kote huko pesa yenyewe anaishia kununua vijora.

Baada ya muda flani ukiona anaanza kujirudi, mweke chini, vaa sura ya ukauzu na umwambie maisha sio rahisi Kama anavyofikiria, pesa inatafutwa kwa tabu na jasho na lengo la ww kumsaidia na pia unaweza kuondoka maishaniwake mida wowote so ajifunze kujishikilia.

Pia muulize Kama ana wazo lolote la kujisimamia kiuchumi na ana msingi kiasi gani, akijiuma uma ujue hilo ni jipu tafuta akili za kuishi nae.

Mwisho mwanamke wa kaliba hiyo ukija kumuoa jiandae kisaikolojia mapema sana, hataona hatari kuhamisha pesa za biashara kwenda kutunza kwa ndugu na mashoga, lengo kuwadhihirishia Kama mumewe anazo.
Kila Jambo la maendeleo ndani ya nyumba utalazimika kufanya wewe, simply yy pesa yake haijaandikwa "ya baba".

Kama unampenda mpe elimu au ujuzi na umweke mbali na biashara zako kabla hajaota mizizi.
 
Kusuka, kijora mtajenga kweli kma mtaendekeza uo ujinga?

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Hapo ni kama unafanya biashara na mke wako,
Au umemuajiri mkeo.

Tatizo linaanzia hapo mkuu.

Hiyo hela unayomlipa 12k- 17k ni malipo ya kazi au biashara mnayofanya.

Kwahiyo anachodai hapo ni "hela ya kuwa wapenzi".
Sijajua hiyo hela inaitwaje.
Inaitwa Tozo ya Mahusiano
 
IMEANDIKWA,
"tuishi nao kwa Akili"

Ushauri wangu Ni kwamba,
Kama Ni kweli unampenda,
[emoji117]Mpe full mikakati yako ya kimaisha na malengo yako juu yake.
[emoji117]Muelekeze azma yako na malengo yako ya kumlipa icho unachomlipa
[emoji117]Muelekeze Ni wapi mnataka mfike kiuchumi na mnafikaje hapo.

Kama umeamua ubane matumizi,
Basi bana kotekote hata kwako pia.

Sio unamwambia abane yeye matumizi, wakati anakuona wewe unatumbua pesa.

Mwisho wa sikU ukimwambia huna Ela hakuelewi,
Atakuchukulia mbahili TU.

HEBU FANYIA KAZI HUU USHAURI MKUU.

Hapa Nmeandika nikiwa serious kabisa
 
hamna mwanamke hapo aloo kwanza unampa pesa nyingi sana watu wanapambana viwandani kusimama siku nzima wanalipwa buku 6 au saba we unampa 20 yote hiyo na bado analeta nyodo. Mwache arudi mtaani kwanza mwezi tu atarudi na magoti.
Hatari snaa
 
hamna mwanamke hapo aloo kwanza unampa pesa nyingi sana watu wanapambana viwandani kusimama siku nzima wanalipwa buku 6 au saba we unampa 20 yote hiyo na bado analeta nyodo. Mwache arudi mtaani kwanza mwezi tu atarudi na magoti.
Noma sana
 
Jaribu hii...

Mstopishe ghafla tuu kufika kwenye shughuli zako za kibiashara Kisha tafuta mtu wa kushika nafasi yake, akiuoiza kwa nini?....mwambie Kuna shida

Kama unampenda mpe elimu au ujuzi na umweke mbali na biashara zako kabla hajaota mizizi.
Yaani mkuu namlipa 15,000, 17,000 ,20,000 kwa siku siku chache sana 12000 yani nadra ila siku zote ni 15 kwenda juu

[emoji117]nauli namlipia mimi, kula maji juu yangu, vocha namuwekea mimi, akifika nyumbani halipi kodi kwao wala umeme ni kula cha usiku anachokikuta mezani na kulala, sijawahi kuzaa nae mean hatulei think
 
Jaribu hii...

Mstopishe ghafla tuu kufika kwenye shughuli zako za kibiashara Kisha tafuta mtu wa kushika nafasi yake, akiuoiza kwa nini?....mwambie Kuna shida
Umeongea jambo la msingi sana
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…