Wanawake ni wazuri wakiwa kazini

Jamani tunafunga nywele maana haitakiwi tupike na nywele wazi zitaangukia kwa chakula jamani. Sasa kutwa nzima nimejibana nikirudi home kadera lazima kahusike mwili upumue kidogo.
Ah wapi. Wengi wenu wapo mahausgel, unakuta wameshapika. Sasa wewe unakuta unaenda huku mara unatokea huko, mara kuchat na mkilemba kichwani
 
Kama najiona nikitoka mishe huko dera liko wapi hata sidiria sivai ziwa linacheza segere tu kifuani, halafu Kuna Yale Madera ya kushindia yamepauka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah, Yale yaliyoiva mapya mapya eti yakutokea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ati segere jmn
 
Ila pamoja na mapungufu ya wanawake..
Wanaume hamjui ugumu wa shughuli za nyumbani.,
Hakikisha mna dada mmoja au wawili kumsaidia mama
 
Ukiona hivyo jamaa hajachangia hela ya Saluni.

Kwa hiyo shoo ambayo haujalipia haiwezi kukuburudisha.

Sisi wanawake ni zaidi ya mtujuavyo.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmh hapana kabisa...haya ni mazoea ya ke wengi
 
Yaani huyo ni mimi kabisaaaaa,
Hapa yenyewe nipo kama nimetoka kwenye mashimo ya migodi nywele zipo kitimtim, sina habari nazo.
Huwa inakata nyeg..e sana badilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…