Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Daah ulipotea rafikiYaani sijui ni kwanini , Hali ni mbaya kwa wanawake wasio na kazi .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah ulipotea rafikiYaani sijui ni kwanini , Hali ni mbaya kwa wanawake wasio na kazi .
Too generalized without any gist of research or reasons for generalization. Ukiona mmoja usidhani ni wote hata first ladies au wake wa wenye nazo. Umewaza na kutoa hitimisho kimaskini mwanangu.Habari za Jumapili.
Nikiwa nimetulia ndani jioni namuona mamsap akirudi toka kwenye mishe. Pia alipitia saluni. Katengeneza nywele zake vizuri anavutia kumtazama
Sasa ujinga ni kuwa kufika tu kachukua kilemba kafungia nywele humo kazibania vizuri hata isionekane hata moja! Hapo tayari kuanza mishe za nyumbani. Ule mvuto aliokuja nao ukatoweka.
Ikifika asubuhi anajikwatua tena na kuziachia vizuri tayari kwenda kazini. Huko anakutana na wenzake. Mabosi, vijana, wababa, wapita njia, n.k. Wote kwa nyakati tofauti wanavutiwa nae kwa muonekano ambao alipokuwa nyumbani aliuficha.
Jioni inafika tena anafika nyumbani na kujitupia tambara lake kichwani. Tena anaweza kutafuta na nguo nguo huko akajitupia kisha akaendelea na mishe za nyumbani.
Kwa hali hii hamasa itakuwepo? Hakika yatabakia mazoea tu
Honestly jamaa kaandika in a simple language Ila kuna kitu kikubwa sana ndani yakeNchi Kavu naomba umfikishie wife huu ujumbe kama ulivyo. Inawezekana anadhani akipendeza huwa huoni au huvutiwi
Mapenzi ili yawe matamu na kudumu hayataki mazoea... yanataka kufanyiwa kazi kila muda na pande zote mbili
Umeniamsha usingizini sasa ngoja na mimi niondokane na mazoea nianze kujipodoa hata jioni[emoji2][emoji2][emoji2]
Ww kwa kupenda kujipoza machungu uko vizuri Yan kila mada inayoonyesha udhaifu wenu bhac Ukija kuchangia utaleta ujuajiUkiona hivyo jamaa hajachangia hela ya Saluni.
Kwa hiyo shoo ambayo haujalipia haiwezi kukuburudisha.
Sisi wanawake ni zaidi ya mtujuavyo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Communication matters just remind her what attracted you to her at the first placeKwahiyo asipotolewa outing kuwa nyuku nyuku majumbani RUKHSA!?
You are just a year old in here honey.Ww kwa kupenda kujipoza machungu uko vizuri Yan kila mada inayoonyesha udhaifu wenu bhac Ukija kuchangia utaleta ujuaji
Ila on a serious note ujue sometime home tunapenda kujiachia?Nimekoma.....
Sasa tuvae vizuri halafu niko busy na masufuria, huku mabuibui, nipangue hiki kiende kuleee jamani jamani[emoji2297][emoji2297][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbadilike ili kulinda ndoa [emoji12][emoji12]
Don't take me too seriouslyUnafikiriaga ujinga sana aisee badilika please [emoji120]
Mimi napika mwenyewe mkuu, mr atakula chakula cha dada kama naumwa au sipo nyumbani.Ah wapi. Wengi wenu wapo mahausgel, unakuta wameshapika. Sasa wewe unakuta unaenda huku mara unatokea huko, mara kuchat na mkilemba kichwani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiona hivyo jamaa hajachangia hela ya Saluni.
Kwa hiyo shoo ambayo haujalipia haiwezi kukuburudisha.
Sisi wanawake ni zaidi ya mtujuavyo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama najiona next weekend jmosi naamka naupara, nachomekea kisha naingia kwa kitchen kuandaa breakfast....Ila on a serious note ujue sometime home tunapenda kujiachia?
Tusibane nywele, tuvae madera tuwe free no panties no bra za kutabana.
Kumbe wenzetu hawapendi halafu hawatuambii.
It's time we changed though. Sasa hivi tusivae zile kofia za neti ama stockings za zamani... Kuna Satin Bonnets kali mno ambazo we can still look good to our husbands while protecting our hair.
Hatuna sababu ya kulala na nightdress mbovu. Kuna night attire nzuri mno tena very affordable.
That Gentleman am I making sense now?
Communication matters just remind her what attracted you to her at the first place
Sasa tuvae vizuri halafu niko busy na masufuria, huku mabuibui, nipangue hiki kiende kuleee jamani jamani[emoji2297][emoji2297]
Tutajikwatua mkitutoa out[emoji12]
Yaani sijui ni kwanini , Hali ni mbaya kwa wanawake wasio na kazi .
Habari za Jumapili.
Nikiwa nimetulia ndani jioni namuona mamsap akirudi toka kwenye mishe. Pia alipitia saluni. Katengeneza nywele zake vizuri anavutia kumtazama
Sasa ujinga ni kuwa kufika tu kachukua kilemba kafungia nywele humo kazibania vizuri hata isionekane hata moja! Hapo tayari kuanza mishe za nyumbani. Ule mvuto aliokuja nao ukatoweka.
Ikifika asubuhi anajikwatua tena na kuziachia vizuri tayari kwenda kazini. Huko anakutana na wenzake. Mabosi, vijana, wababa, wapita njia, n.k. Wote kwa nyakati tofauti wanavutiwa nae kwa muonekano ambao alipokuwa nyumbani aliuficha.
Jioni inafika tena anafika nyumbani na kujitupia tambara lake kichwani. Tena anaweza kutafuta na nguo nguo huko akajitupia kisha akaendelea na mishe za nyumbani.
Kwa hali hii hamasa itakuwepo? Hakika yatabakia mazoea tu
Ukiona hivyo jamaa hajachangia hela ya Saluni.
Kwa hiyo shoo ambayo haujalipia haiwezi kukuburudisha.
Sisi wanawake ni zaidi ya mtujuavyo.
🤣🤣🤣