Wanawake ni wazuri wakiwa kazini

Na we ukirudi home, unatupua likaputura lako utadhani mchimba kaburi, wakati ofisini unapiga suti .
 
Sure kabisa. kufungukiana ndio mpango. La sivyo mnanuniana na mkiulizwa sababu hamna
 
Too generalized without any gist of research or reasons for generalization. Ukiona mmoja usidhani ni wote hata first ladies au wake wa wenye nazo. Umewaza na kutoa hitimisho kimaskini mwanangu.
Ujumbe umefika
 
Kk
Yani mwaka mwaka huu wanawake tusipopata ukichaa basi na Bwana wa Majeshi asimame nasi.ila elimu imetuingia.

sisi wenye shoti hair kama wasabato haituhusu.ni mwendo wa vikaptura T-shirt imeisha hiyoooo
Mimi ugonjwa wangu ndio huo ...mwanamke awe na nywele fupi zinazotunzwa vizuri . Na mapigo kama hayo yako ....mbona ntamuhonga hadi moyo kudadekiii
 
Kk

Mimi ugonjwa wangu ndio huo ...mwanamke awe na nywele fupi zinazotunzwa vizuri . Na mapigo kama hayo yako ....mbona ntamuhonga hadi moyo kudadekiii
Chief nauomba basi huo moyo tukapige fweza chap!

Seriously mwanamke akiwa yuko natural huwa napenda sana.
Huwa nikikutana na mwanamke mwenzangu yuko na short hair/ziwe ndefu za asilia,awe na rangi nyeusi flani hivi,asiweke makorokoro mengi uso,amemevaa vizuri halafu ananukia..Jesus huwa nasimamaga tumtazama aiseh sikubaligi apite sijamwangalia.haiwezekani
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Yani mwaka mwaka huu wanawake tusipopata ukichaa basi na Bwana wa Majeshi asimame nasi.ila elimu imetuingia.

sisi wenye shoti hair kama wasabato haituhusu.ni mwendo wa vikaptura T-shirt imeisha hiyoooo
Aah bora we mwenzangu unavaa na vikaptura, mwenzio nina videra vyangu vimejipaukia hivyo ndio natupia basi hewa saaafi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…