Wanawake ni wazuri wakiwa kazini

Huyo ndio mwanamke halisi, sio unakuta kitu imejipodoa imekua kama kinyago cha mpapule.
 
Inabidi nikuje DM tujue namna ya kukabidhiana moyo na kufanya uwekezaji ulio bora wenye manufaa pande zote mbili .....hahaha
 
Duh mwana kawaza sana mpaka kaleta huu uzi hatari sana ,kweli kazini wanapendeza au sio ndugu zangu
 
Huu uzi ni muhimu sana kwa wanawake wote ndani ya ndoa ambao wakiwa majumbani mwao wanajisahau sana kwa kisingizio cha kupika, kusafisha nyumba etc. Ni ukweli usiofichika huwezi kujiremba wakati unafanya kazi hizo lakini ukimaliza kaoge ujirembe weka nywele zako vizuri kama zile za kuendea kazini 😜😜😜 piga gauni lako zuri hata kama siyo lile la kuendea kazini 😜 ili hata mwenzio ajisifu hapa nilioa banaaa mke wangu mzuri kweli siyo uko nyuku nyuku utadhani ni house girl na kama una house girl yeye anaonekana kajiweka vizuri kuliko mama mwenye nyumba πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kawaida ya dera jipya haya yetu ya bei rahisi yanakuwa na fabric ngumu kama karatasi, likifuliwa fuliwa likaanza kupauka linalegea na kuwa laini basi ukilitupia bila kyupi ni burudani sana. πŸ˜€

Wanaume msitufananishe na wanawake wa kizungu wanaovaa leggings top na hills ndani. Sisi tuna namna yetu ya kupendeza ndani, kikubwa mtu awe msafi na achane nywele zikae vizuri kama hazijasukwa.
 
Samaki anavuliwa mara moja tuu, labda saiv nawe umekuwa samaki!
Mabaharia wanakwambia kwanini uendelee na kampeni wakati umeshapata jimbo? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Anyways ni somo zuri sana hili, mimi niliumwa kipindi fulani nilivyopona nikajiachia sababu nilikuwa likizo, ilibidi nikumbushwe kwa utani kuwa umejichoka sana, (nakumbuka nilikuwa na wiki kadhaa hata kwapa sijashave, naona hata aibu kuhadithia) Baada ya ujumbe kunifikia Nilipata purpose ya maisha again nikarudi kwenye game.

Mapenzi raha sana kama una mtu anakupenda na mnaelewana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…