KabisaBora ungeshauri kwamba tusiwazingatie sana wanawake tudili na mambo yetu(maisha)
Lakin kuwa na wanawake wengi ni kutafuta matatizo tu
Hata kama ni mkeo we usiku ukipata hamu ipige lala tafakar ya kesho,usianze kuuwazia mwili wake
Matatizo kama yapi unapataBora ungeshauri kwamba tusiwazingatie sana wanawake tudili na mambo yetu(maisha)
Lakin kuwa na wanawake wengi ni kutafuta matatizo tu
Hata kama ni mkeo we usiku ukipata hamu ipige lala tafakar ya kesho,usianze kuuwazia mwili wake
Kwanza Upotevu wa pesa,migogoro mbali mbali maana wanawake wa sasa sio kama wa zaman,Matatizo kama yapi unapata
Haina shida maana yake inabidi niwe na maamuzi kwamba huyu hanifai niondoke ! Tunachokataa ni kuua na kuuana au kujiua kwa sababu mtu kaliwa na mwingine !Kwa hiyo mke wako akiwa anapelekewa moto na masela wengine unakausha.haumzingatii
Hakuna haja ya kutoa mahari sasa kama ndo hivo mbona mmekuwa kama akili zenu zimeganda hivi..Kinyama robo hakina last seen , we njoo kula bakishia wengine ! Kama huwezi kushare basi ni Ruksa kujiengua ni haki yako kikatiba
Ukiingia kwenye mahusiano na mtu haimaanishi ndo umemmiliki akipenda atakutunzia na kukupa wewe tu akiamua atanipa na mimi huku.
Na ukioa kwa hizo akili ndo mnaua watu , hivi kweli unaua mtu kwa sababu amempa mwingine kinyama robo, unajiua kwa ajili hiyo ? Hicho ni kiungo kama yalivyo macho, na masikio ! Mbadilike
Yaan ingekuepo tuzo ya wanaogongea hapa bongo hamna anayenishinda 😂
Lengo kubwa la ujumbe wangu hakuna kitu utafanya kumuweka mtu akupende milele isipokua yeye mwenyewe ameamua ! Hata umletee mayai kwenye kisosi cha dhahabu na juice kwenye bilauri ya rubi 😂 hakai, yaani hata ungekua mkali kama Iddi Amin au umuwekee walinzi wa ikulu akiamua kukigawa atakigawa tu hata mpishi wenuHakuna haja ya kutoa mahari sasa kama ndo hivo mbona mmekuwa kama akili zenu zimeganda hivi..
Unatoa mahari ili iweje na hivi unapouza bidhaa labda TV kwa mtu huwa unaenda kudai au labda watu wanakuja kuchukua tu kwa aliyeuziwa
Mahari is like a value given for parents their girl with morals, siku hizi hayo maadili yenyewe hamna
Mali unachukua ishatumika bara bara daaah na unakuta umetoa M kadhaaa na baba mkwe anadai mahari kubwa kise.
Huu ni upuuzi
Bride price ni SCAM🤮🤮
Dah!Hakyanane tutakufa kwa sonona.Mimi sikujua hayo.Usimuamini sana mke wako na hata mpenzi wako , kama una mke basi jitahidi uwe na wake 3 mpaka 4 na ukiwa na mpenzi jitahidi uwe nao kuanzia wa 4 pamoja na michepuko mingi
tofauti na hapo ni ngumu, kwa sababu wanawake wa siku hizi hawaeleweki wanatongozwa sana mitaani na hawajui kukataa