Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Mwanamke ana access rahisi ya promiscuous ukilinganisha na mwanaume. Kwaiyo ukitaka kushindana na mwanamke kwenye hiyo sekta utashindwa tu. Maana wewe pesa inakutoka mwenzako anateleza bure.
Ili mwanaume kuwa na options nyingi boresha maisha yako. Ukiwa na maisha mazuri wanawake watajileta tu wenyewe kwaiyo unakua na alternatives nyingi after breakup. Usishidane na mwanamke kutengeneza circle kubwa ya potential replacements. Wakati yeye ana-entertain watu wa nje, wewe entertain akaunti yako ya benki