Father Mkananayo
Member
- Sep 6, 2024
- 69
- 136
Kwanini ni kuwaonea? Je ni kosa kumuelekeza mtoto wako/ dada yko kwenye njia impasayo.Inatokana na mabadiliko mbalimbali anayopitia mtu kulingana na umri.
(Stages mbalimbali za mabadiliko)
Kwa umri huo mtu yupo kwenye peak yake ya ulimwengu wake, anaishi ndoto zake zinazowezekana na zisizowezekana, kwahiyo ushauri wako hapo ni kazi bure
Na pia kuwatupia lawama watu wa stage hiyo ni kuwaonea tu maana yake wanahitaji guidance na counselling ya kutosha yani, sio siku moja au mbili udhani mtu anaelewa no!!!
(psychological point of view)
Wana shida kubwa sana Kuna mtoto wa ba mkubwa hapa mzee kashafariki. Baada ya kumkanya aache upumbavu wake hakusikia Mimi kaka yake niliyekuwa natoka matumizi ya shule nk nikaamua ni mrambe viboko vya maana hapo yupo form two tu na baada ya kumchapa si akaacha shule Kisha akatoroka nyumbani kaenda huko kazalishwa mbaya zaidi ana HIV Kwa umri wa miaka17 tu Kwa Sasa. Mama Hana uwezo wowote .Hiyo age huwashauliki na wakibugi kidogo wanazalishwa na kuachwa. Unaweza ukampa mifano yote theory na practical ila still anakuja kutoa boko, sababu ya tamaa au kuendekeza nyege.
Uliquote sijamaliza kuandika, soma tena bro afu tuendelee sasa.Kwanini ni kuwaonea? Je ni kosa kumuelekeza mtoto wako/ dada yko kwenye njia impasayo.
Huoni akiharibikiwa sisi ndo Huwa tunaona aibu zaidi?
Ahsantee sanaUliquote sijamaliza kuandika, soma tena bro afu tuendelee sasa.
Sio kosa na ndio nimeandika wanahitaji zaidi kusaidiwa ingawa pia hawasaidiki kirahisi.
Duh masikini, pole zake..... Bado mdogo kabisaWana shida kubwa sana Kuna mtoto wa ba mkubwa hapa mzee kashafariki. Baada ya kumkanya aache upumbavu wake hakusikia Mimi kaka yake niliyekuwa natoka matumizi ya shule nk nikaamua ni mrambe viboko vya maana hapo yupo form two tu na baada ya kumchapa si akaacha shule Kisha akatoroka nyumbani kaenda huko kazalishwa mbaya zaidi ana HIV Kwa umri wa miaka17 tu Kwa Sasa. Mama Hana uwezo wowote .
Nimeshindwa hata la kumwambia Kwa Sasa.
Namuonea huruma sana heri hata angefeli shule sawa kidogo umri ungeenda je Kwa Sasa una msaidiaje?Duh masikini, pole zake..... Bado mdogo kabisa
🥲Aisee poleni sanaWana shida kubwa sana Kuna mtoto wa ba mkubwa hapa mzee kashafariki. Baada ya kumkanya aache upumbavu wake hakusikia Mimi kaka yake niliyekuwa natoka matumizi ya shule nk nikaamua ni mrambe viboko vya maana hapo yupo form two tu na baada ya kumchapa si akaacha shule Kisha akatoroka nyumbani kaenda huko kazalishwa mbaya zaidi ana HIV Kwa umri wa miaka17 tu Kwa Sasa. Mama Hana uwezo wowote .
Nimeshindwa hata la kumwambia Kwa Sasa.
Hatma ya mtoto wa kiume na wakike huwaga tofauti kabisa kwa binti wa kike hatma yao inakuwaga mbaya sana.Sio wote mkuu
Wengine tulijua mapema kuwa maisha hayataki lelemama
usipojituma utatumika
Na Bado wapo wengine had Wana 30 plus lkn hwaelew Cha kufanya inasikitisha sana
Kutokushaurika nafikir ni stages tu hata wanaume kunakipind Huwa ni ngumu kuwashauri
Inakuaga hivyo ukimkanya kumrudisha katika njia sahihi unakua ni adui, kudeal na umri huo sio rahisi kwakweli.....Namuonea huruma sana heri hata angefeli shule sawa kidogo umri ungeenda je Kwa Sasa una msaidiaje?
Kwanza kashatengeneza uadui kwangu eti sikumpenda
Nikweli lakini Kuna uafadhari Kwa wanaume kiasi chake.Lakini Kwa wanawake kati ya watano unaweza usipate hata mmoja amini haya....wengi wao ni Bahati Huwa inawaangukia wanakoswakoswa na kupigwa mimba au wanaanza kuyatumia majira mapema zaidi.Sio wote mkuu
Wengine tulijua mapema kuwa maisha hayataki lelemama
usipojituma utatumika
Na Bado wapo wengine had Wana 30 plus lkn hwaelew Cha kufanya inasikitisha sana
Kutokushaurika nafikir ni stages tu hata wanaume kunakipind Huwa ni ngumu kuwashauri
Kabisa mkuuHatma ya mtoto wa kiume na wakike huwaga tofauti kabisa kwa binti wa kike hatma yao inakuwaga mbaya sana.
Ahsantee sana hili litapita lakini Sasa hata sisi tunao Watoto wa kike wanaelekea huko ndo najiuliza sana nikwanini hawasikii hiviInakuaga hivyo ukimkanya kumrudisha katika njia sahihi unakua ni adui, kudeal na umri huo sio rahisi kwakweli.....
Labda, labda nawe ujifanye kama rika lake ndo walau anaweza elewa.
Pole kwa changamoto unazopitia mkuu
Ndo mabadiliko ya tabia katika makuzi mkuu, labda walau kumuweka katika mstari mzazi uwe rafiki mnooo mshkaji wake yani (kitu ambacho wazazi hatufanyi kwa watoto wetu)Ahsantee sana hili litapita lakini Sasa hata sisi tunao Watoto wa kike wanaelekea huko ndo najiuliza sana nikwanini hawasikii hivi