Wanawake pindi mnapokuwa na miaka 17-25 kwanini huwa hamshauriki mkasikia?

Kwa uzoefu wangu Hawa mabinti kuanzia umri wa balehe Hadi miaka25 au zaidi kidogo Huwa huwaambi kitu wakakusikia.

Haijarishi wewe ni mzazi wake au kaka yake vyovyote vile hata kama wewe ni kiongozi wa Dini au Dr huwezi kumpa ushauri akakusikiliza na then akaelewa.

Unapomshauri muda huo atajifanya anakusikiliza mno Tena Kwa u pole wote lakini akiondoka hapo sana sana atakuona wewe ni adui yake.

Lakini Kwa yule anaye mshauri mambo ya ovyo basi atamuona wa maana kabisa na atampa muda wake wa kutosha hata kama sio ndg yake nk.

Baada ya umri huo kupita ukimshauri hata kuuza ubuyu atakusilikiza na ataanza kuuza ubuyu au kuchoma vitumbua

Wakati hizohizo kazi aliapa hata kuja azifanye maishani mwake.
Mbaya zaidi awe na mtoto tiyari na aliye mzalisha haeleweki yaani Hana mbele Wala nyuma.

Atafanya kazi yoyote Ile..........Hii Huwa inani sikitisha sana.

Jambo hili ni tofauti Kwa wanaume mwanaume mwenye miaka hiyo aliyelelewa vyema husimama kama mwanaume na wengi mitazamo Yao kama sio kusoma basi atajipanga aoe.

Ni wachache sana Ambae unaweza kaa nae ukamshauri habari za maisha asisikie.

Wengi humaliza masomo na kujikita kutafuta maisha Kwa kazi halali. Hii Kwa wanawake ni kinyume utashauri Hadi koo likauke unywe maji lakini amini kazi Yako ni Bure unapoteza muda.

Swali langu kwenu ninyi wanawake watu wazima mliopitia huo umri huwa Kuna changamoto Gani inayowafanya msisikie la mkuu?
Mshangazi dot com hebu pitia hapa uje na majibu sahihi, haya ndio mambo uliohitaji wanawake wa jf muulizwe ili tupate majibu...karibu
 
Nakumbuka tukiwa wadogo mzee alitumia mbinu nyingi sana za kutuonya, kutushauri, kutufundisha, kutuelekeza katika makuzi yetu. Alikuwa hadi anatupeleka wanapojiuza dada poa anatuambia mnaona wenzenu? Mnavyowaona hivyo wengine wameathirika hapo ni muda haujafika wa kupandisha makenchi na kuteleza nywele ( by then ARV hazijashika hatam) yaan kama mtu ana ukimwi anajulikana tu. Sasa usipoyashika yale na kukaza buti kwenye kitabu utajua mwenyewe anakwambia na mama yenu sitaki ajihusishe na ujinga ulioufanya ukiukwaa tunakutengea chumba chako dah tena anacheka, hapo lazima akili ikukae hakutumia bakora kabisa ila mafundisho yake nayaishi
Hapo ndipo wapotuharibu eti kukaza buti kwenye kitabu ni bora mama zetu na Baba, wangetufundisha namna ya kuwa machawa tu
 
Nimelea mabinti 7 na madume matatu. Na wote walitoka vizuri tu hakuna aliyezingua kivile. Mabinti saba wote hakuna aliyepata mimba kabla ya ndoa na watano wako kwenye ndoa zao huko wametulia. Mmoja yeye anajitafuta kwanza na keshasema yeye hana hamu kabisa na kuolewa. Ka mwisho ndo kako chuo kanapambana na medical school. Madume hayo sasa ndo yako vizuri balaa; and we are just true buddies!

Siri kubwa niliyoigundua ni upendo na URAFIKI. Wewe baba jenga urafiki sana na mabinti zako. Yaani mpaka inafikia mahali wanakuwa na uhuru wa kukwambia cho chote. Upendo na urafiki huu ndiyo utakujengea heshima kwao na inafika mahali wanaona aibu kufanya kitu ambacho wanadhani kitakukasirisha; na au kukuvunjia heshima haijalishi kama upo nao au wako mbali. Na kamwe usitumie ukali tu na maguvu!

Unajengaje urafiki na mabinti zako?

Anza kwa kumpenda sana mama yao na kumfanya kuwa rafiki yako mkubwa. Na uonyeshe kwa vitendo. Na wewe na mama yao ni lazima muwe timu moja katika hili. Wakiona jinsi unavyom-treat mama yao itakuwa rahisi sana kwao kujenga ukaribu nawe mpaka mnakuwa washikaji wakubwa. Hiyo inakupa wewe nafasi nzuri ya kuanza kucheza na saikolojia yao changa na kuwa-mold unavyotaka wawe. Ukiweza na kuwaingiza kwenye mambo ya Mungu wakamjua Mungu vizuri basi unakuwa umemaliza kila kitu.

Hiki kibinti cha mwisho kitinda mimba kimeanza kudeti kinakuja kuniambia eti huyu kijana Anthony nimeanza kumkubali sana dad maana ni gentleman mno...ha ha ha nikacheka weeee! Nakiambia, 99.99% lengo kuu la Anthony ni kukupelekea moto tu hakuna kingine hivyo kuwa macho na hilo. Na hiyo inakuwa ni nafasi nyingine ya ku-cement ambacho tayari tulishaongea kuhusu hiyo ishu ya kupelekewa moto kabla ya ndoa; na athari zake.

Usilazimishe watoto wako wakuheshimu. Wapendee sana mama yao. Jenga urafiki nao. Wasogeze kwa Mungu...kazi kwisha! 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
 
Najua unapo elekea ila sioni cha ajabu nilicho andika bali mawazo yako ya kipuuzi unayo ya endekeza. Maneno yote yana wakilisha jinsia ya kike........ ila ww mwenyewe umechagua kutokuelewa sawa.
Unajua mimi nakuenjoy tu unavyokuja kwa jazba, huko ulikofikiri naelekea ni wewe mwenyewe uliyekuwa ukielekea huko. Mimi nipo humu kuinjoy wala si kujiuguza presha kwa kuwakasirikia watu ambao siwajui.

Lakini pamoja na kuwa umeamua kukaza usionekane umekosea, kusema binti wa kike bado ni ❌, haijalishi utapandisha vipi mori leo
 
Nimelea mabinti 7 na madume matatu. Na wote walitoka vizuri tu hakuna aliyezingua kivile. Mabinti saba wote hakuna aliyepata mimba kabla ya ndoa na watano wako kwenye ndoa zao huko wametulia. Mmoja yeye anajitafuta kwanza na keshasema yeye hana hamu kabisa na kuolewa. Ka mwisho ndo kako chuo kanapambana na medical school. Madume hayo sasa ndo yako vizuri balaa; and we are just true buddies!

Siri kubwa niliyoigundua ni upendo na URAFIKI. Wewe baba jenga urafiki sana na mabinti zako. Yaani mpaka inafikia mahali wanakuwa na uhuru wa kukwambia cho chote. Upendo na urafiki huu ndiyo utakujengea heshima kwao na inafika mahali wanaona aibu kufanya kitu ambacho wanadhani kitakukasirisha; na au kukuvunjia heshima haijalishi kama upo nao au wako mbali. Na kamwe usitumie ukali tu na maguvu!

Unajengaje urafiki na mabinti zako?

Anza kwa kumpenda sana mama yao na kumfanya kuwa rafiki yako mkubwa. Na uonyeshe kwa vitendo. Na wewe na mama yao ni lazima muwe timu moja katika hili. Wakiona jinsi unavyom-treat mama yao itakuwa rahisi sana kwao kujenga ukaribu nawe mpaka mnakuwa washikaji wakubwa. Hiyo inakupa wewe nafasi nzuri ya kuanza kucheza na saikolojia yao changa na kuwa-mold unavyotaka wawe. Ukiweza na kuwaingiza kwenye mambo ya Mungu wakamjua Mungu vizuri basi unakuwa umemaliza kila kitu.

Hiki kibinti cha mwisho kitinda mimba kimeanza kudeti kinakuja kuniambia eti huyu kijana Anthony nimeanza kumkubali sana dad maana ni gentleman mno...ha ha ha nikacheka weeee! Nakiambia, 99.99% lengo kuu la Anthony ni kukupelekea moto tu hakuna kingine hivyo kuwa macho na hilo. Na hiyo inakuwa ni nafasi nyingine ya ku-cement ambacho tayari tulishaongea kuhusu hiyo ishu ya kupelekewa moto kabla ya ndoa; na athari zake.

Usilazimishe watoto wako wakuheshimu. Wapendee sana mama yao. Jenga urafiki nao. Wasogeze kwa Mungu...kazi kwisha! 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
Eeeh anatakakupelekewa moto tena ....basi vizuri kama unamwambia ukweli
 
Kupelekewa moto kwa mtoto wa kike ni kawaida mkuu wala siyo jambo la kushangaza. Ni lazima kuongea na hawa mabinti kwa uwazi kabisa ili wajue na madhara yake 😂
 
Mshangazi dot com hebu pitia hapa uje na majibu sahihi, haya ndio mambo uliohitaji wanawake wa jf muulizwe ili tupate majibu...karibu
Sawa nitakujibu kama mwanasayansi na mwanamke;
  1. Msichana wa miaka 17 - 25, Prefrontal Cortex bado inaendelea kudevelop na haijakomaa vizuri (hii ni kwa vijana wa kiume pia), yani sehemu ya ubongo inayohusika na maamuzi ya busara, kujizuia, kupanga mambo ya muda mrefu, na kufikiri huwa inaendele kutengenezwa mpaka msichana afikie miaka 25.

  2. Mabadiliko ya homoni kwa wanawake, msichana anapobalehe anaanza kutengeneza homoni za kijinsia ambazo wanaume hawana kwa wingi (Estrogen na Progesterone) na huwa zinamuathiri na anaweza kufanya baadhi ya maamuzi akisukumwa na msisimko wa kihisia kuliko reasoning.

    Hii inatofautiana sana kutegemeana na binti yuko kwenye stage gani ya mzunguko wa hedhi. Kama ni kijana wa kiume mwenye akili ambaye unadeal na vibinti vya alfu mbili, download app ya period calendar kwenye simu yako na ufuatilie msichana wako yuko kwenye stage gani na umwambie au ufanye naye nini kwa wakati gani.
  • Menstrual phase (Hedhi): anableed - mbembeleze, mjali au kama huwezi, muache tu mpaka amalize.

  • Follicular phase: yai linaandaliwa - anajisikia ana nguvu, mood nzuri, uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi uko juu.

  • Ovulation phase: yai linatolewa - ana nyeg****eee sana, muda mzuri wa kuomba tendo, hunyimwi, ila pia siku za hatari, anaweza kushika mimba.

  • Luteal phase: mwili unajiandaa kwa mimba - anakua kama mbogo, hasira, mood mbaya, ukimgusa tu kashakuwakia, nenda naye kwa akili na tahadhari, usimletee ujinga au utoto.

Mambo yote haya yamechanganuliwa vizuri sana kisayansi, unaweza kwenda mtandaoni na kujifunza zaidi. Ila, kama ni mwanaume ambaye unadeal na binti mdogo, lazima ujue kwamba yuko kwenye development stage ambayo ina mabadiliko na adjustment nyingi kimwili na kiakili.

Arizona 1 I hope utakua umeokota cha kukusaidia.
 
Unajua mimi nakuenjoy tu unavyokuja kwa jazba, huko ulikofikiri naelekea ni wewe mwenyewe uliyekuwa ukielekea huko. Mimi nipo humu kuinjoy wala si kujiuguza presha kwa kuwakasirikia watu ambao siwajui.

Lakini pamoja na kuwa umeamua kukaza usionekane umekosea, kusema binti wa kike bado ni ❌, haijalishi utapandisha vipi mori leo
Unajenjoy mwenyewe. Mbona wenzako wameelewa.
 
Wana shida kubwa sana Kuna mtoto wa ba mkubwa hapa mzee kashafariki. Baada ya kumkanya aache upumbavu wake hakusikia Mimi kaka yake niliyekuwa natoka matumizi ya shule nk nikaamua ni mrambe viboko vya maana hapo yupo form two tu na baada ya kumchapa si akaacha shule Kisha akatoroka nyumbani kaenda huko kazalishwa mbaya zaidi ana HIV Kwa umri wa miaka17 tu Kwa Sasa. Mama Hana uwezo wowote .

Nimeshindwa hata la kumwambia Kwa Sasa.
Uzuri haya maisha hayacheki na yoyote.

Maisha rula hata mtu ajifanye nunda kapinda kiasi gani, maisha yatamnyoosha tu.

Maisha rula.
 
Hatma ya mtoto wa kiume na wakike huwaga tofauti kabisa kwa binti wa kike hatma yao inakuwaga mbaya sana.
Ni kweli ila muhimu tusichoke kuwaelekeza japo ni ngumu Kuna stage kuambiwa ni kama unaona watu wanakupigia kelele
 
Nimelea mabinti 7 na madume matatu. Na wote walitoka vizuri tu hakuna aliyezingua kivile. Mabinti saba wote hakuna aliyepata mimba kabla ya ndoa na watano wako kwenye ndoa zao huko wametulia. Mmoja yeye anajitafuta kwanza na keshasema yeye hana hamu kabisa na kuolewa. Ka mwisho ndo kako chuo kanapambana na medical school. Madume hayo sasa ndo yako vizuri balaa; and we are just true buddies!

Siri kubwa niliyoigundua ni upendo na URAFIKI. Wewe baba jenga urafiki sana na mabinti zako. Yaani mpaka inafikia mahali wanakuwa na uhuru wa kukwambia cho chote. Upendo na urafiki huu ndiyo utakujengea heshima kwao na inafika mahali wanaona aibu kufanya kitu ambacho wanadhani kitakukasirisha; na au kukuvunjia heshima haijalishi kama upo nao au wako mbali. Na kamwe usitumie ukali tu na maguvu!

Unajengaje urafiki na mabinti zako?

Anza kwa kumpenda sana mama yao na kumfanya kuwa rafiki yako mkubwa. Na uonyeshe kwa vitendo. Na wewe na mama yao ni lazima muwe timu moja katika hili. Wakiona jinsi unavyom-treat mama yao itakuwa rahisi sana kwao kujenga ukaribu nawe mpaka mnakuwa washikaji wakubwa. Hiyo inakupa wewe nafasi nzuri ya kuanza kucheza na saikolojia yao changa na kuwa-mold unavyotaka wawe. Ukiweza na kuwaingiza kwenye mambo ya Mungu wakamjua Mungu vizuri basi unakuwa umemaliza kila kitu.

Hiki kibinti cha mwisho kitinda mimba kimeanza kudeti kinakuja kuniambia eti huyu kijana Anthony nimeanza kumkubali sana dad maana ni gentleman mno...ha ha ha nikacheka weeee! Nakiambia, 99.99% lengo kuu la Anthony ni kukupelekea moto tu hakuna kingine hivyo kuwa macho na hilo. Na hiyo inakuwa ni nafasi nyingine ya ku-cement ambacho tayari tulishaongea kuhusu hiyo ishu ya kupelekewa moto kabla ya ndoa; na athari zake.

Usilazimishe watoto wako wakuheshimu. Wapendee sana mama yao. Jenga urafiki nao. Wasogeze kwa Mungu...kazi kwisha! 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
Umemaliza kilakitu mpwa
Wasisahau kuwaspoil mabint zao kadri wawezavyo
 
Back
Top Bottom