Na hapo ndo ugumu ulipoNdo mabadiliko ya tabia katika makuzi mkuu, labda walau kumuweka katika mstari mzazi uwe rafiki mnooo mshkaji wake yani (kitu ambacho wazazi hatufanyi kwa watoto wetu)
Aisee alikuwa vizuri nanyi mlikuwa mnaisikia ya mzee wengine hata ufanyaje pia kipindi hicho maadili yalikuwepo badoNakumbuka tukiwa wadogo mzee alitumia mbinu nyingi sana za kutuonya, kutushauri, kutufundisha, kutuelekeza katika makuzi yetu. Alikuwa hadi anatupeleka wanapojiuza dada poa anatuambia mnaona wenzenu? Mnavyowaona hivyo wengine wameathirika hapo ni muda haujafika wa kupandisha makenchi na kuteleza nywele ( by then ARV hazijashika hatam) yaan kama mtu ana ukimwi anajulikana tu. Sasa usipoyashika yale na kukaza buti kwenye kitabu utajua mwenyewe anakwambia na mama yenu sitaki ajihusishe na ujinga ulioufanya ukiukwaa tunakutengea chumba chako dah tena anacheka, hapo lazima akili ikukae hakutumia bakora kabisa ila mafundisho yake nayaishi
AminaBinti akishakuwa mrembo na akishaanza kurembua macho ukimdhauri anakuangalia juu hadi chini kisha anakusonya live ama kimoyomoyo kulingana na namna mnavyohusiana.
Ila tukiwa kama wazazi, walezi, kaka na dada tusichoke tuendelee kuongea nao kwa mifano halisi. Pia mtoto wa kike anahitaji kuwa controlled kwa kiasi huwa inasaidia.
Sawa mkuuKwa upande wangu nadhani haya mambo yanaanzia upande WA malezi na Jamii wanayokutana nayo vijana ..Mfano Mtoto anaweza lelewa Maisha ya kichungaji haoneshwi upande WA pili ni kubanwa Tu kutoka primary Mpaka chuo....
Akifika chuo ni kama fungulia mbwa😁,nikimaanisha Yale yote aliyokuwa akifichwa atataka ajaribu(Ingawa si kwa wote)
Ukija kwenye Jamii tujaribu kuwajenga vijana kuwa marafiki WA wazazi,Jamii sio maadui hii itasaidia Sana kwa maana Mtoto atakuwa muwazi kwa Yale yanayomsibu ...Mfano kijana pindi ana baleghe kuna vitabia vya ukuaji anapitia sasa badala ya kushauriwa hapa tunafanya hivi na hivi, maneno yanaaza"Ooh watoto WA kizazi hiki WA hovyo,mara utakuwa Malaya n.k ".Haya Maneno hayajengi badala Yake yanabomoa mahusiano mazuri hivyo vijana kuwa na tabia za hovyo wanapokuwa
Namshukuru sana mzee wetu na ujue hapo alikuwa mkali balaa nyumbani kwa mambo mengine yaan hata akiwa likizo raha hakuna kila siku tunamuuliza mama hivi baba ataanza lini kuingia kazini😀😀 ila suala la malezi ya makuzi alikuwa mtaratibu sana, siku moja jirani yetu alimpiga binti yake amekutwa na mimba mzee ndo akaenda kuamlia kuuliza shida nini yule mzee akamwambia eti nimempima nimekuta ana mimba. Mzee akamwambia unavompiga utabadili kile kilichotokea? Akamwambia utamuua mtoto muache awe akishazaa atajifunza....alafu ndo tumemaliza la 7 nikajiuliza huyu yeye amewezaje kufanya mapenzi mapema hivi? Bahati mbaya Bertha hakujifunza akawahi kuolewa nasikia alikuja kupigwa na mumewe hadi kufariki wakati huko tuko o level sisi dahAisee alikuwa vizuri nanyi mlikuwa mnaisikia ya mzee wengine hata ufanyaje pia kipindi hicho maadili yalikuwepo bado
Zaidi kipigo hakifai katika kumrekebisha kwenye makuzi yake, huyo anatakikana kila unapokaa naye case studies zinakuwa nyingi ili aelewe unamaanisha niniBinti akishakuwa mrembo na akishaanza kurembua macho ukimdhauri anakuangalia juu hadi chini kisha anakusonya live ama kimoyomoyo kulingana na namna mnavyohusiana.
Ila tukiwa kama wazazi, walezi, kaka na dada tusichoke tuendelee kuongea nao kwa mifano halisi. Pia mtoto wa kike anahitaji kuwa controlled kwa kiasi huwa inasaidia.
Duh👿 pole sana aisee!!!Wana shida kubwa sana Kuna mtoto wa ba mkubwa hapa mzee kashafariki. Baada ya kumkanya aache upumbavu wake hakusikia Mimi kaka yake niliyekuwa natoka matumizi ya shule nk nikaamua ni mrambe viboko vya maana hapo yupo form two tu na baada ya kumchapa si akaacha shule Kisha akatoroka nyumbani kaenda huko kazalishwa mbaya zaidi ana HIV Kwa umri wa miaka17 tu Kwa Sasa. Mama Hana uwezo wowote .
Nimeshindwa hata la kumwambia Kwa Sasa.
Daah sikio la kufa hiliNamshukuru sana mzee wetu na ujue hapo alikuwa mkali balaa nyumbani kwa mambo mengine yaan hata akiwa likizo raha hakuna kila siku tunamuuliza mama hivi baba ataanza lini kuingia kazini😀😀 ila suala la malezi ya makuzi alikuwa mtaratibu sana, siku moja jirani yetu alimpiga binti yake amekutwa na mimba mzee ndo akaenda kuamlia kuuliza shida nini yule mzee akamwambia eti nimempima nimekuta ana mimba. Mzee akamwambia unavompiga utabadili kile kilichotokea? Akamwambia utamuua mtoto muache awe akishazaa atajifunza....alafu ndo tumemaliza la 7 nikajiuliza huyu yeye amewezaje kufanya mapenzi mapema hivi? Bahati mbaya Bertha hakujifunza akawahi kuolewa nasikia alikuja kupigwa na mumewe hadi kufariki wakati huko tuko o level sisi dah
Je kwa binti wa kiume?😁Hatma ya mtoto wa kiume na wakike huwaga tofauti kabisa kwa binti wa kike hatma yao inakuwaga mbaya sana.
Kweli wapo ila matokeo anayopata binti na Boy ni tofauti mbali sanaSio wa kike tu hata wapo wa kiume kwenye age hiyo hawambiliki.
Ila sikuzote maisha ni shule na asiyesikia la mkuu huvunjika guu.
Nikishatoa kauli/ushauri ukikaidi kikakuramba, usitegemee huruma.Duh masikini, pole zake..... Bado mdogo kabisa
Mnakuza vitu sasa husicho kielewa ni kipi?Je kwa binti wa kiume?😁
Oya leo shem alifaidi titi na mvua hizi sii balaaa😹😹😹 Mfyuuu..!!
Kwenderaaaaaa!!
ni sahii mkuu.Kweli wapo ila matokeo anayopata binti na Boy ni tofauti mbali sana
😹😹 mpk mbususu alifaidi..!!Oya leo shem alifaidi titi na mvua hizi sii balaaa