Wanawake pindi mnapokuwa na miaka 17-25 kwanini huwa hamshauriki mkasikia?

Wanawake pindi mnapokuwa na miaka 17-25 kwanini huwa hamshauriki mkasikia?

Inatokana na mabadiliko mbalimbali anayopitia mtu kulingana na umri.
(Stages mbalimbali za mabadiliko)

Kwa umri huo mtu yupo kwenye peak yake ya ulimwengu wake, anaishi ndoto zake zinazowezekana na zisizowezekana, kwahiyo ushauri wako hapo ni kazi bure

Na pia kuwatupia lawama watu wa stage hiyo ni kuwaonea tu maana yake wanahitaji guidance na counselling ya kutosha yani, sio siku moja au mbili udhani mtu anaelewa no!!!

Ni kama kumlaumu mtu ambae yupo katika stage ya balehe kwa tabia mbaya mbaya alizonazo wakati unajua kabisa ni mabadiliko ya kawaida katika umri huo anahitaji kusaidiwa na sio kulaumiwa wala kuachwa
Vivyo hivo kwa mabinti wa umri huo.

(psychological point of view)
Nje ya mada mimi ni me miaka 35, ni napenda kutafuna mbususu tofauti Yan nikipiga mweusi Leo kesho nataka mweupe, nikipiga mrefu kesho nataka mfupi, nikipiga mwenye maliwato makubwa kesho nataka mwenye bunyero/tako dogo

Hii nayo ni balehe au😝🥶?
 
Nimelea mabinti 7 na madume matatu. Na wote walitoka vizuri tu hakuna aliyezingua kivile. Mabinti saba wote hakuna aliyepata mimba kabla ya ndoa na watano wako kwenye ndoa zao huko wametulia. Mmoja yeye anajitafuta kwanza na keshasema yeye hana hamu kabisa na kuolewa. Ka mwisho ndo kako chuo kanapambana na medical school. Madume hayo sasa ndo yako vizuri balaa; and we are just true buddies!

Siri kubwa niliyoigundua ni upendo na URAFIKI. Wewe baba jenga urafiki sana na mabinti zako. Yaani mpaka inafikia mahali wanakuwa na uhuru wa kukwambia cho chote. Upendo na urafiki huu ndiyo utakujengea heshima kwao na inafika mahali wanaona aibu kufanya kitu ambacho wanadhani kitakukasirisha; na au kukuvunjia heshima haijalishi kama upo nao au wako mbali. Na kamwe usitumie ukali tu na maguvu!

Unajengaje urafiki na mabinti zako?

Anza kwa kumpenda sana mama yao na kumfanya kuwa rafiki yako mkubwa. Na uonyeshe kwa vitendo. Na wewe na mama yao ni lazima muwe timu moja katika hili. Wakiona jinsi unavyom-treat mama yao itakuwa rahisi sana kwao kujenga ukaribu nawe mpaka mnakuwa washikaji wakubwa. Hiyo inakupa wewe nafasi nzuri ya kuanza kucheza na saikolojia yao changa na kuwa-mold unavyotaka wawe. Ukiweza na kuwaingiza kwenye mambo ya Mungu wakamjua Mungu vizuri basi unakuwa umemaliza kila kitu.

Hiki kibinti cha mwisho kitinda mimba kimeanza kudeti kinakuja kuniambia eti huyu kijana Anthony nimeanza kumkubali sana dad maana ni gentleman mno...ha ha ha nikacheka weeee! Nakiambia, 99.99% lengo kuu la Anthony ni kukupelekea moto tu hakuna kingine hivyo kuwa macho na hilo. Na hiyo inakuwa ni nafasi nyingine ya ku-cement ambacho tayari tulishaongea kuhusu hiyo ishu ya kupelekewa moto kabla ya ndoa; na athari zake.

Usilazimishe watoto wako wakuheshimu. Wapendee sana mama yao. Jenga urafiki nao. Wasogeze kwa Mungu...kazi kwisha! 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
Sasa 🤣baba mkwe nizangitie basi Huyu binti wa medical akimaliza shule , nipo mwanza tunaweza kujenga udugu
 
Inatokana na mabadiliko mbalimbali anayopitia mtu kulingana na umri.
(Stages mbalimbali za mabadiliko)

Kwa umri huo mtu yupo kwenye peak yake ya ulimwengu wake, anaishi ndoto zake zinazowezekana na zisizowezekana, kwahiyo ushauri wako hapo ni kazi bure

Na pia kuwatupia lawama watu wa stage hiyo ni kuwaonea tu maana yake wanahitaji guidance na counselling ya kutosha yani, sio siku moja au mbili udhani mtu anaelewa no!!!

Ni kama kumlaumu mtu ambae yupo katika stage ya balehe kwa tabia mbaya mbaya alizonazo wakati unajua kabisa ni mabadiliko ya kawaida katika umri huo anahitaji kusaidiwa na sio kulaumiwa wala kuachwa
Vivyo hivo kwa mabinti wa umri huo.

(psychological point of view)
Kwenye umri huu watoto wa kike hisia zinakuwa juu sana kuliko akili
 
Nje ya mada mimi ni me miaka 35, ni napenda kutafuna mbususu tofauti Yan nikipiga mweusi Leo kesho nataka mweupe, nikipiga mrefu kesho nataka mfupi, nikipiga mwenye maliwato makubwa kesho nataka mwenye bunyero/tako dogo

Hii nayo ni balehe au😝🥶?
Ni balehe ya uzeeni, itakoma siku ukikutana na ukimwi face to face. 😁
 
Wana shida kubwa sana Kuna mtoto wa ba mkubwa hapa mzee kashafariki. Baada ya kumkanya aache upumbavu wake hakusikia Mimi kaka yake niliyekuwa natoka matumizi ya shule nk nikaamua ni mrambe viboko vya maana hapo yupo form two tu na baada ya kumchapa si akaacha shule Kisha akatoroka nyumbani kaenda huko kazalishwa mbaya zaidi ana HIV Kwa umri wa miaka17 tu Kwa Sasa. Mama Hana uwezo wowote .


Nimeshindwa hata la kumwambia Kwa Sasa.
Duu hatari
 
Niliwahi kuzungumza na mdogo wangu zaidi ya masaa 3 kwa lugha ya wazi na akaniaminisha kuwa ushauri umepokelewa.
Miezi 6 baadae nikapewa taarifa kuwa anamimba ya miezi mitatu. Nikachoka kabisa na ajabu aliyempa mimba hataki hata kumsikia kwa sasa. Tunaendelea kumlea uncle tu
Pole sana
 
Kwa uzoefu wangu Hawa mabinti kuanzia umri wa balehe Hadi miaka25 au zaidi kidogo Huwa huwaambi kitu wakakusikia.

Haijarishi wewe ni mzazi wake au kaka yake vyovyote vile hata kama wewe ni kiongozi wa Dini au Dr huwezi kumpa ushauri akakusikiliza na then akaelewa.

Unapomshauri muda huo atajifanya anakusikiliza mno Tena Kwa u pole wote lakini akiondoka hapo sana sana atakuona wewe ni adui yake.

Lakini Kwa yule anaye mshauri mambo ya ovyo basi atamuona wa maana kabisa na atampa muda wake wa kutosha hata kama sio ndg yake nk.

Baada ya umri huo kupita ukimshauri hata kuuza ubuyu atakusilikiza na ataanza kuuza ubuyu au kuchoma vitumbua

Wakati hizohizo kazi aliapa hata kuja azifanye maishani mwake.
Mbaya zaidi awe na mtoto tiyari na aliye mzalisha haeleweki yaani Hana mbele Wala nyuma.

Atafanya kazi yoyote Ile..........Hii Huwa inani sikitisha sana.

Jambo hili ni tofauti Kwa wanaume mwanaume mwenye miaka hiyo aliyelelewa vyema husimama kama mwanaume na wengi mitazamo Yao kama sio kusoma basi atajipanga aoe.

Ni wachache sana Ambae unaweza kaa nae ukamshauri habari za maisha asisikie.

Wengi humaliza masomo na kujikita kutafuta maisha Kwa kazi halali. Hii Kwa wanawake ni kinyume utashauri Hadi koo likauke unywe maji lakini amini kazi Yako ni Bure unapoteza muda.

Swali langu kwenu ninyi wanawake watu wazima mliopitia huo umri huwa Kuna changamoto Gani inayowafanya msisikie la mkuu?
Kwa sababu kunakuwa kuna reforms tayari so uchaguzi lazima uwepo.
 
😂😂😂Yani izo stage kilamtu anapitia utofaut ni viwango tu
Kuna mademu wanalazimisha niwaoe kuwa wako serious now, wametulia, eti Mimi siko serious mambo mengi, nawauliza why hawakunisubiri au walikuwa wapi hiyo Miaka kuolewa.

Wanawake kwenye huo umri Wana ringa hatari
 
Back
Top Bottom