Father Mkananayo
Member
- Sep 6, 2024
- 69
- 136
- Thread starter
- #121
Ndio sio wote lakini wengi wao wapo hivyo.Inategemea na asili ya Mtu.
Wapo wadada wamenyooka kikamilifu hata hawahitaji ushauri.
Ni utambuzi wa Mtu binafsi Tu.
Lakini mtu yeyote ambaye anashikiwa Akili lazima asumbue