OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wiki mbili zilizopita nilihudhuria semina fulani ya masuala ya Kitalaamu (Profession). Basi nikapata fursa ya kuonana na watalaamu wenzangu ambao baadhi tulikuwa nao kwenye magroup ya WhatsApp
Kitu nilichokiona wanawake wengi wao zile sura za kwenye WhatsApp profile hazikuwa halisi. Wengi walikuwa wametumia filter na kuonekana wazuri warembo balaa. Wakiwa na sura nyororo na nywele nzuri za gharama.
Kumbe sio kweli.