To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣🤣🤣😉Msamehe wa kumbeje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣😉Msamehe wa kumbeje
Kazi kwelikweli
Uko machava sehem ganwanakula samaki wakiwa vifaranga mpaka kuuzwa
Na Cha nguruwe hivyo hivyo
Kikubwa kujikubaliHawajijui tu mwanamke mweusi alivyo na mvuto.
Tofauti 🤣Ndio weusi wenyewe huo , au unasemea maji ya maharage 😁
Wewe ni maji ya kunde sasa😁Tofauti 🤣
Km mi sio mweupe,sio mweusi
Nilijua watu ndo walivyo kumbe ni k. Watumia vigodoro 🤔Dah hii sikujua mkuu kumbe tunaibiwa kwa namna hii Tayana-wog umeona ?
Chujio(Filters),wachuje na uhalisia!Wiki mbili zilizopita nilihudhuria semina fulani ya masuala ya Kitalaamu (Profession). Basi nikapata fursa ya kuonana na watalaamu wenzangu ambao baadhi tulikuwa nao kwenye magroup ya WhatsApp
Kitu nilichokiona wanawake wengi wao zile sura za kwenye WhatsApp profile hazikuwa halisi. Wengi walikuwa wametumia filter na kuonekana wazuri warembo balaa. Wakiwa na sura nyororo na nywele nzuri za gharama.
Kumbe sio kweli.
Vionekane vimevimba kama vimetiwa hamira etiNilijua watu ndo walivyo kumbe ni k. Watumia vigodoro 🤔
So Ili iwe nn🤣🤣
Bora filter kwenye make up kuna utapeli wa kutisha .Hii tumegoma kwakweli, filters tutaendelea tu kutumia mpaka mwisho wa dahari.
Ndio nyie kenge sie mbwa ngoma draw 😜Em ngoja kwanza umetuita kenge 😳
🤣🤣🤣🤣🤣Bora filter kwenye make up kuna utapeli wa kutisha .
Duka lipo hapa barabara ya lami ama opposite na uwanja wa huu wa vumbi next to machava sports arena wanaochezea sijui ni volleyball ama basketballUko machava sehem gan
Duka lako linaitwaje
Alafu utaskia Mimi sipendi mwanaume mweupeHuwa nashangaa mtu ni cheusi mangala unakuta kapost picha ni white soldier.
Hivi huwa mnajisikia vizuri kufanya hivyo alafu ni almost wanawake wengi wapenda mitandao.
LinaitwajeDuka lipo hapa barabara ya lami ama opposite na uwanja wa huu wa vumbi next to machava sports arena wanaochezea sijui ni volleyball ama basketball
Mtazamo wa wanawake wengi wa kiafrika ni kwamba weupe ndo uzuri, 'uarabu'.Hawajijui tu mwanamke mweusi alivyo na mvuto.
Hivi zile makeup ni za kupaka kila saa, au matukio maalum tu?😂Uzuri ni asili
Urembo ni WA kujiongeza
Utachangua unataka yupi
Mwanaume akiwa Hana anavumiliwa ,akipata anatafuta mrembo ndo maana sshv hawawataki
Huu mtazamo wa kishamba sijui wameutolea wap , binafsi mwanamke mweusi akiwa na vigezo navyopenda akipita huwa ana nibamba sana.Mtazamo wa wanawake wengi wa kiafrika ni kwamba weupe ndo uzuri, 'uarabu'.
Wanakosea sana.