Wanawake punguzeni kidogo kutumia sura bandia, mnatumia sana chujio (filtering)

Wiki mbili zilizopita nilihudhuria semina fulani ya masuala ya Kitalaamu (Profession). Basi nikapata fursa ya kuonana na watalaamu wenzangu ambao baadhi tulikuwa nao kwenye magroup ya WhatsApp

Kitu nilichokiona wanawake wengi wao zile sura za kwenye WhatsApp profile hazikuwa halisi. Wengi walikuwa wametumia filter na kuonekana wazuri warembo balaa. Wakiwa na sura nyororo na nywele nzuri za gharama.

Kumbe sio kweli.
Hahaha
 
Ndiyo maana Chaputa imepata usajili rasmi
 
Back
Top Bottom