Wanawake punguzeni kidogo kutumia sura bandia, mnatumia sana chujio (filtering)

Wanawake punguzeni kidogo kutumia sura bandia, mnatumia sana chujio (filtering)

Wiki mbili zilizopita nilihudhuria semina fulani ya masuala ya Kitalaamu (Profession). Basi nikapata fursa ya kuonana na watalaamu wenzangu ambao baadhi tulikuwa nao kwenye magroup ya WhatsApp

Kitu nilichokiona wanawake wengi wao zile sura za kwenye WhatsApp profile hazikuwa halisi. Wengi walikuwa wametumia filter na kuonekana wazuri warembo balaa. Wakiwa na sura nyororo na nywele nzuri za gharama.

Kumbe sio kweli.
Mifuko yenu inawindwa mkuu😀😀😀
 
Kama hivi
 
Attachments

  • AQNoCCwIxCMcUC8YKcGhlbLjRARD-UXIB3f7uRiN2iQ_ljWYZq6ZRuUs-Nibbv3F4YD3IozC6Z5dN9yb535bODaf.mp4
    193.6 KB
Siku hizi wameona haitoshi wakaenda mbali zaidi wanarekebisha makalio.
Screenshot_20250226_113831_Instagram.jpg

Ngojea uzee uanze kumnyemelea.Wenyewe siku hizi wanakwambia wanavutia madanga, yule mke wa Momo tako kubwa mpaka linataka kuporomoka,halafu lina dimpozi viguu vidogo.
 
Dah mkuu unawajua vizuri kwa kwel ,pichani anaitwa nan huyo?
Huyo anaitwa Nicole, hawa na akina Mwijaku na Baba level ndio marole model wa vijana wetu wakike na wakiume. Kama hizi surgery ndio zinakuja kwa kasi sana, sijajua TBS wanafanya utafiti na kucheki usalama wa haya madawa.
 
Back
Top Bottom