OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kwa hiyo?Wiki mbili zilizopita nilihudhuria semina fulani ya masuala ya Kitalaamu (Profession). Basi nikapata fursa ya kuonana na watalaamu wenzangu ambao baadhi tulikuwa nao kwenye magroup ya WhatsApp
Kitu nilichokiona wanawake wengi wao zile sura za kwenye WhatsApp profile hazikuwa halisi. Wengi walikuwa wametumia filter na kuonekana wazuri warembo balaa. Wakiwa na sura nyororo na nywele nzuri za gharama.
Kumbe sio kweli.
Kumbe sio kweli.
Have u ever heard a man say that we love all that fake stuff?Si ndio vitu mnapenda sasa wafanyaje
Sijasema mnapenda vitu fake ila mnapenda mwanamke mwenye muonekano mzuri na wao wanaamua kupitia humo humo sasa ni juu yako kuchagua alie natural ama fake.Have u ever heard a man say that we love all that fake stuff?
Plus isnt u women who say that u were for ur own pleasure na ajo kuvutia wanaume? Thats ur choice. We dnt like it at all.
Wee kuwa na takoz natural, titi saa sita upaja kama wa mobeto alooh ukichanganya na kutokuomba hela ya salon wee ni wife material kabisaaa😜
Mkuu kumbe unauza urembowafanyabiashara tusikose kula!
Wanajiedit mno, unamwona mwanamke mzuri balaa na ngozi Nyororo ila ukikutana nae unaziba mdomoWiki mbili zilizopita nilihudhuria semina fulani ya masuala ya Kitalaamu (Profession). Basi nikapata fursa ya kuonana na watalaamu wenzangu ambao baadhi tulikuwa nao kwenye magroup ya WhatsApp
Kitu nilichokiona wanawake wengi wao zile sura za kwenye WhatsApp profile hazikuwa halisi. Wengi walikuwa wametumia filter na kuonekana wazuri warembo balaa. Wakiwa na sura nyororo na nywele nzuri za gharama.
Kumbe sio kweli.
Kwahiyo mobeto ni natural?😂🤔Have u ever heard a man say that we love all that fake stuff?
Plus isnt u women who say that u were for ur own pleasure na ajo kuvutia wanaume? Thats ur choice. We dnt like it at all.
Wee kuwa na takoz natural, titi saa sita upaja kama wa mobeto alooh ukichanganya na kutokuomba hela ya salon wee ni wife material kabisaaa😜
Hahahaha hapana nampgia promo rafiki wangu mmoja mm nauza chakula cha samaki na nguruwe boss! Niunganisheni na wafugaji nipo Kigamboni barabara ya machava au kwenda kanisa la RomaMkuu kumbe unauza urembo
Hicho chakula unachouza wanakula samaki na nguruwe au kinatokana na samaki na nguruwe?mm nauza chakula cha samaki na nguruwe boss!
Wee tako natural lile acha wivu 😜Kwahiyo mobeto ni natural?😂🤔
Ht tofauti ya tako og na fake sidhani km wengi wanaelewa
Yaani tupende wabaya🤣🤣🤣 mbona nyie hampendi wanaume tuliofulia kama mzabzabMpaka mseme
SI mnataka warembo kazi kwenu 😂