HahahaWiki mbili zilizopita nilihudhuria semina fulani ya masuala ya Kitalaamu (Profession). Basi nikapata fursa ya kuonana na watalaamu wenzangu ambao baadhi tulikuwa nao kwenye magroup ya WhatsApp
Kitu nilichokiona wanawake wengi wao zile sura za kwenye WhatsApp profile hazikuwa halisi. Wengi walikuwa wametumia filter na kuonekana wazuri warembo balaa. Wakiwa na sura nyororo na nywele nzuri za gharama.
Kumbe sio kweli.
Ndiyo maana Chaputa imepata usajili rasmiWiki mbili zilizopita nilihudhuria semina fulani ya masuala ya Kitalaamu (Profession). Basi nikapata fursa ya kuonana na watalaamu wenzangu ambao baadhi tulikuwa nao kwenye magroup ya WhatsApp
Kitu nilichokiona wanawake wengi wao zile sura za kwenye WhatsApp profile hazikuwa halisi. Wengi walikuwa wametumia filter na kuonekana wazuri warembo balaa. Wakiwa na sura nyororo na nywele nzuri za gharama.
Kumbe sio kweli.
Mi najua ni matukio tuHivi zile makeup ni za kupaka kila saa, au matukio maalum tu?
nikajua hapo kwenye avatar ndo wewe umejibinua😅Hapana kwa kweli! Nitajielezea tukikutana Live
Hapo niko nachuroo😀😀😀nikajua hapo kwenye avatar ndo wewe umejibinua😅
basi una balaa mkuuHapo niko nachuroo😀😀😀