msuyaeric
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 842
- 1,197
- Thread starter
- #261
[emoji849]View attachment 2297303
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyoooo kweli kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji849]View attachment 2297303
Mmoja juzi kati tumefahamiana yaani amenikera sana usiku saa 6 akaomba 5000 ya bando kisa eti ameboreka maana kifurushi ktk dstv kilikata.kesho yake asubuhi natakiwa nilipie dstv nikapiga chenga nikamwambia mimi nimeshindwa kulipia azam itakuwaje nimlipie akajibu wewe hujalipia maana sio kipaumbele ,sasa hadi leo nadaiwa pesa ya king'amuzi.imebidi niiogope simu yake
😀 😀 😀hayana fazilaa hayoo aisee[emoji23][emoji23][emoji23] nguchilo hao
Sister hujamwelewa mtoa mada na hujui majanga tunayokumbana nayo wanaume wakati wa kutongoza.
Mtu anakuomba hela ila ukimwalika mahali kama kwenye mgahawa ku-spend time na ww hataki, kwenye chating anajibu sms kama unamfosi.. leo akiomba elf 20 ukimpa, kesho ataomba elf 15, kesho kutwa ataomba tena elf 30, Unapata feeling kama vile anakukomoa, hapo hata kama una million 90 kwenye account ukiombwa elf 10 lazma uje kuanzisha uzi jf
Mwanamke asipokupenda ni hasara sana sophy27
Depal amadala to yeye Shida sio ninyi kuomba pesa, By nature sisi wanaume tunapenda sana kuwapa hela wanawake tunaowapenda.
Shida kubwa ni kuwa Wanawake wengi tunaowatongoza mnatuomba hela kwa nia ovu ya kutukomoa, na si kwamba mna shida kweli, na sisi wanaume tuna-sense hicho kitu, niliprove hicho kitu kwa kusoma kitabu kimoja kimeandikwa na mdada wa kimarekani Baje Fletcher cha jinsi ya kuwachuna wanaume pesa bila kutoa papuchi, nikasema this is A sick world.
NB:
Mwanaume kukunyima hela haimaanishi he is broke, ingawa wengi wetu tuko broke
😀 😀 😀kaka server ya jf itajaaa mapemaa snaaarikiboy andaa uzi wa kuombwa pesa .. kila atakaye ombwa pesa ana screenshot anatuma mule... unaonaje?[emoji23] wazo hilo kamati iundwe
Hakika mkuuUkimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
Kwangu nimeona nipangue kila kirungu kinachokuja kwangu.jana nimeambulia virungu vinne vitatu nimechomoa kirungu Cha mwisho nikanasa..nisiseme sana maneno mengi humaliza buyu la asali..virungu vitatu vya jana [emoji116][emoji116]
View attachment 2297376View attachment 2297377View attachment 2297378
So unataka kumchafua bure?kwan wanawake washakuwa wauzaji?
Hapo kwenye kutatua shida zake bila kukusumbua ndo kumuomba mwanaume mwenzio ambaye huyo binti hampendi kivile
[emoji1787][emoji1787] then tunarudi pale pale lazima mwanamke ataomba pesaa kwa mwanaume
Kama hamtaki kutoa pesa then toeni matumizi walau kwa wiki au mwezi..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa inatakiwa uwatoe ubishi huu.Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...