Apo kwenye alikua anaishije... mahusiano yamekua material orientated mno...ts scary
 
Ni sahihi mwanaume kumuhudumia mwanamke, kwasababu kazi nyingi huwa zinamfavor sana mwanamme, ni kazi chache sana anazoweza kuzifanya mwanamke akapata pesa ukilinganisha na mwanamme.

Kingine pia umesema tumepewa viungo sawa! hauko sahihi.. mwanaume na mwanamke hawako sawa kibaiolojia nadhani umenielewa

Ni wajibu wa mwanaume kumuhudumia mwanamke mkuu
 
Aisee chief hakuna kazi inayomfavor mwanaume kwa sera zilizowekwa sasaivi maana wanawake ndio walizipigania na kusema " they can do better than men". Pia si wajibu wa mwanaume bali ni wajibu wa mume kumhudumia mke na familia yake. Tujaribu kutofautisha mke na mwanamke ambaye ni rafiki. Pili ajira nyingi zimechukua wanawake wengi so hamna kazi ambayo mwanamke haifanyi labda heavy physical work ambapo kwanza wanawake huwadharau wanaume wafanyazo kazi hizo. So waambie wafanye kazi, mwanamke kachumbiwa juzi ila still kuomba mwanaume mwingine pesa huona rahisi bila aibu ukimuuliza siuna mchumba anakwambia mimi sina nani kakwambia. Dunia ni ya ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

maisha ni kama jeshi... umeenda jeshini wewe?
 
Aiseee nashukuru Mungu Kwa ajili ya huyu mkurya![emoji119][emoji119]
Jibu Huwa Moja tu ,kiasi gani unahitaji
Ukitaja inatumwa na ya kutolea!

And he s proud of it

[emoji23][emoji23][emoji23] onyesha transaction hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…