msuyaeric
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 842
- 1,197
- Thread starter
- #421
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naomba hela ya kodi kipenzi uwiii wewe natania
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naomba hela ya kodi kipenzi uwiii wewe natania
Wakati ana nunua dstv alikushilikisha asikuumize kichwa block cm yako af unaiogopa?
Yule wako aliomba 15k ukamfungulia uzi ama ilibidi waombe sh ngap ili isionekane wana njaa??mfano huyu yaani Elfu 5 tu inamshinda dah Wanawake aisee Keroo sana... kwa usawa huu unaomba Elfu[emoji23] dah njaa sanaView attachment 2297807
[emoji1][emoji1][emoji1]nimeipenda hiiHela zenyewe hamna na bado mnatusimanga
IndeedThe war between broke guys and slay queen (s) will never cease..
Na vita iendeleee [emoji1787]
Apo kwenye alikua anaishije... mahusiano yamekua material orientated mno...ts scaryUkimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
Tell themWanaume !Wanaume! Wanaume! Soon tunapoteza authority, too much complaining about women.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umekariri eeh
Uwe unapendwa uwe hupendwii hela zitaombwa tu … hayo ulioongea ni kwa wanawake waoga tu ila tuliobaki tunaombaga hela [emoji81][emoji81]
[emoji108][emoji108][emoji108]Mwanamke asiponiomba pesa nahisi hanipendi...
Poleni sana...
[emoji848][emoji848][emoji848]Huna hoja tuliza ki...
Demi[emoji87][emoji85][emoji2960][emoji38][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Jifunzenu kujitomba wenyewe ili kuepuka kuombwa hela
Ni kweliMbona niny Leo mmetusema kuwa wachafu
Aisee chief hakuna kazi inayomfavor mwanaume kwa sera zilizowekwa sasaivi maana wanawake ndio walizipigania na kusema " they can do better than men". Pia si wajibu wa mwanaume bali ni wajibu wa mume kumhudumia mke na familia yake. Tujaribu kutofautisha mke na mwanamke ambaye ni rafiki. Pili ajira nyingi zimechukua wanawake wengi so hamna kazi ambayo mwanamke haifanyi labda heavy physical work ambapo kwanza wanawake huwadharau wanaume wafanyazo kazi hizo. So waambie wafanye kazi, mwanamke kachumbiwa juzi ila still kuomba mwanaume mwingine pesa huona rahisi bila aibu ukimuuliza siuna mchumba anakwambia mimi sina nani kakwambia. Dunia ni ya ajabu.Ni sahihi mwanaume kumuhudumia mwanamke, kwasababu kazi nyingi huwa zinamfavor sana mwanamme, ni kazi chache sana anazoweza kuzifanya mwanamke akapata pesa ukilinganisha na mwanamme.
Kingine pia umesema tumepewa viungo sawa! hauko sahihi.. mwanaume na mwanamke hawako sawa kibaiolojia nadhani umenielewa
Ni wajibu wa mwanaume kumuhudumia mwanamke mkuu
Ni sahihi mwanaume kumuhudumia mwanamke, kwasababu kazi nyingi huwa zinamfavor sana mwanamme, ni kazi chache sana anazoweza kuzifanya mwanamke akapata pesa ukilinganisha na mwanamme.
Kingine pia umesema tumepewa viungo sawa! hauko sahihi.. mwanaume na mwanamke hawako sawa kibaiolojia nadhani umenielewa
Ni wajibu wa mwanaume kumuhudumia mwanamke mkuu
Vunja bei anawapaga makavu wanaume wenzie wanaohesabia pesa mfukoni.
Vunja bei anasema mwanaume haombwi pesa na mwanamke,
Mwanaume toa pesa bila kuombwa,