Hao sii ndio easy target bwana wewe...kila mtu anatafuta unafuu hapa duniani🤣🤣🤣🤣

Alafu unaona mlivyo na roho mbaya, hamtaki wenzenu wenye sura pesono watongozwe.
😂🤣 una kichaa eeh

Hata wao now days wamekuwa wajanja pia wanataka hela msiwachukulie poa
 
😂🤣 una kichaa eeh

Hata wao now days wamekuwa wajanja pia wanataka hela msiwachukulie poa
Sasa ndio hapo tunapo wanyima. Yaani tunakuwa wagumu kutoa hela.

Ni kama nyi mnavyokuwa wagumu kutuoa mbususu kwa wanaume ambao hawana hela.
Ata kiwango cha wetness ya mbusus ya mwanamke inaenda na amount ya hela mwanaume anatoa
 
Tuelezane ukweli jameni.
Wee utampa hela mwanamke ng'ong'ozo?
Vile vile mwanamke ata mpa mbususu mwanaume mwenye hela

kweli kabisa... demu mbaya, mbovu kila Kona afu unaomba hela ya nini?

sema mimi pesa sitoi ata uwe Mzuri vipi.. hiyo pesa naweka kibubu najua nikija kufanya tathimini nitajua ningepoteza kiasi gani cha pesa
 
Kamsaidie mkeo
Kama hauna kamsaidie dada ako

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…