Nyie kwani hamwezi kuzitafuta zenu mkaona zinaingia tuu?
Yule to yeye buku tano aliumia wiki nzima sasa kweli mnataka tuwapende
Zetu zipo.. ila zinaingia kwa tarehe… na zikiingia sijui zinaendaga wapi, week ya pili tu zinapepea…

Buku5 Imefanyaje 🤣
Mm zikiwepo nasaidia sana tu…
 
Ni hao wanawake wako wenye njaa next time anza n neno "baadhi" wewe kama unaasociate na cheap women means u r also cheap...upgrade n associate na carrier women
 
kweli kabisa... demu mbaya, mbovu kila Kona afu unaomba hela ya nini?

sema mimi pesa sitoi ata uwe Mzuri vipi.. hiyo pesa naweka kibubu najua nikija kufanya tathimini nitajua ningepoteza kiasi gani cha pesa
Wee kuna pisi kali yaani wee mwenye unafurahia kuspend juu yake.
 
Zetu zipo.. ila zinaingia kwa tarehe… na zikiingia sijui zinaendaga wapi, week ya pili tu zinapepea…

Buku5 Imefanyaje 🤣
Mm zikiwepo nasaidia sana tu…
Kwani zetu ndio zinadumu mpaka mwisho wa mwezi...acheni hizo bwana tutaishia kuwabatua tuu na kuwatia mimba maana inafika sehemu wenyewe mnahitani kuwa na mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…