basi ndo maana tunatakiwa twende jeshini ujiunze maisha... kama umefanikiwa basi umefanikiwa kwa elimu ya darasani tu ila elimu ya maisha ya kupambana kwenye jua na mvua huijui... so wewe endelea kutoa pesa ila usiwasahau wazazi wako
Sio wajibu wangu kuwahudumia wazazi wao ndo wanapaswa/walipaswa kupambana kuhakikisha watoto tunakua na maisha mazuri.

Wajibu wangu ni kuhudumia familia yangu akiwemo mke wangu na watoto wangu tu.. msaada ninaoweza kuwasaidia wazazi mimi kama kijana wao ni kuwasaidia wadogo zangu inapobidi.

Huo ndo ukweli mchungu!
 
Ni hao wanawake wako wenye njaa next time anza n neno "baadhi" wewe kama unaasociate na cheap women means u r also cheap...upgrade n associate na carrier women

ooh nataka nikujibu naomba kujua Jinsia yako
 
Hawezi kufilisika kwasababu anatoa bila kinyongo,

Mungu anamzidishia zaidi ya kile alichokitoa,



Mmnh hapo utakuwa umechanganya madesa @ Mpendwa!

Kuhonga michepuko/mahawara ambako msingi wake ni uzinzi na uasherati matendo ambayo ni machukizo machoni pa Mungu wewe unasema Mungu anamzidishia zaidi Kwa alichokitoa ? Kwa vipi sasa? Huoni vinakinzana?

Matumizi ya pesa yanahitaji nidhamu binafsi Mwambie wadangaji wanafilisi!
 
Umeandika kwa uchungu sana
 
Hahahaha hakuna hajaa ya kupanic mkuu pole sana. Kwahyo wewe ukiwa kwa relationship hiwez msaidia mwanamke wako kwa lolote kuhusu pesa kisa tu anakupa k na stareh ni kwa wote so ajitegemee.
 
[emoji23][emoji23]
 
umeongea point sana wanawake weng akili zao ni shida sana utasikia tafuta pesa wakati yeye mwenyewe hana ata hiyo pesa
Ni tabia mbovu sana, na ikiendelea hivi itafikisha wanawake pabaya. Mtu anataka asuke nywele za elfu 30 ilihali hana uwezo, amiliki simu ya 500k hana uwezo etc. Live within your limit. Mimi siwezi omba hela hovyo, natumia kutokana na kipato changu na kupunguza matumizi yasiyo ya lazima. Kutunza mwili wako mwenyewe unasubiria hela ya kupewa loh, kama huna tulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…