Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wanawake humu jf bila kusoma koment zao siku haijakamilika wewe na Kelsea Nakadori Evelyn Salt sophy27🤣🤣🤣🤣 Unanitafuta😶
Sio wajibu wangu kuwahudumia wazazi wao ndo wanapaswa/walipaswa kupambana kuhakikisha watoto tunakua na maisha mazuri.basi ndo maana tunatakiwa twende jeshini ujiunze maisha... kama umefanikiwa basi umefanikiwa kwa elimu ya darasani tu ila elimu ya maisha ya kupambana kwenye jua na mvua huijui... so wewe endelea kutoa pesa ila usiwasahau wazazi wako
Hawezi kufilisika kwasababu anatoa bila kinyongo,
Mungu anamzidishia zaidi ya kile alichokitoa,
Umeandika kwa uchungu sanaUkimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hela zenyewe hamna na bado mnatusimanga
Nenda kwwnye ule uzi wa warembo uone visu vya maanahahah ipi hiyo
Na hili ndio nasisitizagaMsiwe mnapenda kujenga vibanda,ukipata demu unampuliza mara moja usirudie rudie, hapo ndiyo chanzo cha tatizo.
Umeandika kwa uchungu sana
True storyUmeandika kwa uchungu sana
Hahahaha hakuna hajaa ya kupanic mkuu pole sana. Kwahyo wewe ukiwa kwa relationship hiwez msaidia mwanamke wako kwa lolote kuhusu pesa kisa tu anakupa k na stareh ni kwa wote so ajitegemee.Hizo kauli zinanikwaza Sana "bila kuhudumia" sasa nakuhudumia wewe kwa misingi ya kunipa K? Au kuna lingine?
Ile Starehe NI wote sasa inakuwaje mwanaume ndo ahudumie? Mmejilemaza sana bila Wanaume, mwanamke awezi kitu maishani mwake
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
When I was horny, you refused to show up and I watched spartacus. Now that you need money go and watch money heistBitter truth [emoji3064]
Acha ukorofi 🤣🤣When I was horny, you refused to show up and I watched spartacus. Now that you need money go and watch money heist
Shauri yako[emoji23]hahaha umenifundisha hahha wait wajilete sasa
[emoji23][emoji23]Mmnh hapo utakuwa umechanganya madesa @ Mpendwa!
Kuhonga michepuko/mahawara ambako msingi wake ni uzinzi na uasherati matendo ambayo ni machukizo machoni pa Mungu wewe unasema Mungu anamzidishia zaidi Kwa alichokitoa ? Kwa vipi sasa? Huoni vinakunzana?
Matumizi ya pesa yanahitaji nidhamu binafsi Mwambie wadangaji wanafilisi!
Ni tabia mbovu sana, na ikiendelea hivi itafikisha wanawake pabaya. Mtu anataka asuke nywele za elfu 30 ilihali hana uwezo, amiliki simu ya 500k hana uwezo etc. Live within your limit. Mimi siwezi omba hela hovyo, natumia kutokana na kipato changu na kupunguza matumizi yasiyo ya lazima. Kutunza mwili wako mwenyewe unasubiria hela ya kupewa loh, kama huna tulia.umeongea point sana wanawake weng akili zao ni shida sana utasikia tafuta pesa wakati yeye mwenyewe hana ata hiyo pesa