Hudanganyi rafikiHahahahaha..nasema uongo Rafiki?
Ndio maana wazazi huwaga wana wasisitiza mabinti zao "wawaletee mtu wa maana........".Mtu wa maana sio kwamba labda mcha Mungu au mwenye tabia nzuri bali mwenye HELA
Hahah nimecheka kwamba tunaishukuru CCM kwa yote.
kwanza kabisa hilo ndio
La bei rahisi kuliko yote tunayovaa sisi wananchi wa kawaida tusio watoto wa Mama kizimkazi na hapa ipo [emoji1787]
Eeeh anaongea haraka haraka sana halafu Kwa jazba,wakati tunayajenga[emoji16][emoji16]
Mimi ni sauti ya wengi, wengine wanaona tu aibu kusema,wapo humu nawaonaga wanasema hawapendi Pesa,,,,USIAMINI hata mwanadada Mmoja akikwambia hivyo anakufa na tai shingoni[emoji28][emoji28][emoji28]
Ukitoa una offer nini
Kiongozi umelala nao umeamka nao dadeki, kombora kwa kombora.Ni kweli kabisa⦠I hope wanaume wengi wa humu baadae watakuja kusisitiza mabinti zetu wapeleke mwanaume anaepumua na inasimama mengine akajitegemee kwenye mahusiano [emoji23][emoji23]
Asante kaka!wewe lazima ni matured na mwelewa sana...
Kiongozi umelala nao umeamka nao dadeki, kombora kwa kombora.Hudanganyi rafiki
50/50 nipe ela nikupe pesaMwanaume anamtunza Mtu anayempenda,Ukiona hupewi Hela ujue Kuna anayekula Hela zake
Kiongozi umelala nao umeamka nao dadeki, kombora kwa kombora.
ONE WOMAN ARMY no retreat no surrender [emoji23]
MmeamuaWanachooffer wanawake mpaka na mahari mnakilipiaga mkuu
Mmeamua
50/50Uchoyo tu wanakua nao. Na siku hizi wanaomba wao pesa kwa wanawake
Naona mmechoka kusemwa πTunaelewesha kaka zetu [emoji23][emoji23]
Aliekwambia tunafaidi nan πππ.WANAUME HAWA TUWAMBIE UKWELI AU TUWAACHE WAJIPE MAUJIKO πWazitafute kweli kama wanataka kufaidi wanawake wanaowataka
Wee mrembo Abaya gani tena? Unani konfyuzi na kunichambua kama karanga πMmeanza! Lengo lenu nisipewe hela ya Abaya na wig la laki 3? Sikukuu inakuja wakuu acheni basi π
Mzigua90 nakubaliana na wewe kabisa πππNi kweli kabisaβ¦ I hope wanaume wengi wa humu baadae watakuja kusisitiza mabinti zetu wapeleke mwanaume anaepumua na inasimama mengine akajitegemee kwenye mahusiano [emoji23][emoji23]
Hahahahaha...niko vzr mno najua michezo yote ya mjini inavyochezwaHudanganyi rafiki
Safiiii,..ila dizain yako huwaga wajanja hamkai kabisa kwenye reli Kila mkisetiwaπHahahahaha...niko vzr mno najua michezo yote ya mjini inavyochezwa