Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Ndio maana wazazi huwaga wana wasisitiza mabinti zao "wawaletee mtu wa maana........".Mtu wa maana sio kwamba labda mcha Mungu au mwenye tabia nzuri bali mwenye HELA

Ni kweli kabisa… I hope wanaume wengi wa humu baadae watakuja kusisitiza mabinti zetu wapeleke mwanaume anaepumua na inasimama mengine akajitegemee kwenye mahusiano [emoji23][emoji23]
 
Hahah nimecheka kwamba tunaishukuru CCM kwa yote.

kwanza kabisa hilo ndio
La bei rahisi kuliko yote tunayovaa sisi wananchi wa kawaida tusio watoto wa Mama kizimkazi na hapa ipo [emoji1787]

Umeumiza hisia zangu. Rafiki yangu Jumapili kanunuliwa na shem two wigs Glamhour za 1.8M na 600k [emoji119][emoji119]
Halafu kuna hawa mpenzi akimuomba hela ya chips mayai analalamika anaomba omba sana [emoji23][emoji23]
 
Eeeh anaongea haraka haraka sana halafu Kwa jazba,wakati tunayajenga[emoji16][emoji16]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume mada za hela hawawezagi kuzijadili kwa utulivu kunakuaga na kahasira ndani yao
 
Mimi ni sauti ya wengi, wengine wanaona tu aibu kusema,wapo humu nawaonaga wanasema hawapendi Pesa,,,,USIAMINI hata mwanadada Mmoja akikwambia hivyo anakufa na tai shingoni[emoji28][emoji28][emoji28]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli kabisa… I hope wanaume wengi wa humu baadae watakuja kusisitiza mabinti zetu wapeleke mwanaume anaepumua na inasimama mengine akajitegemee kwenye mahusiano [emoji23][emoji23]
Kiongozi umelala nao umeamka nao dadeki, kombora kwa kombora.

ONE WOMAN ARMY no retreat no surrender 😂
 
Kiongozi umelala nao umeamka nao dadeki, kombora kwa kombora.

ONE WOMAN ARMY no retreat no surrender [emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmeanza! Lengo lenu nisipewe hela ya Abaya na wig la laki 3? Sikukuu inakuja wakuu acheni basi 😂
Wee mrembo Abaya gani tena? Unani konfyuzi na kunichambua kama karanga 😂
200w.gif

Kuhusu wigi la 300k no comment hapo najisachi 🏃‍♂️
 
Ni kweli kabisa… I hope wanaume wengi wa humu baadae watakuja kusisitiza mabinti zetu wapeleke mwanaume anaepumua na inasimama mengine akajitegemee kwenye mahusiano [emoji23][emoji23]
Mzigua90 nakubaliana na wewe kabisa 👊👊👊
 
Back
Top Bottom