Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Mwanamke hajawahi kuwa na hela bwana,we mpe pesa tu hizo50/50 nipe ela nikupe pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke hajawahi kuwa na hela bwana,we mpe pesa tu hizo50/50 nipe ela nikupe pesa
Leo nashinda nao hapa,labda wataelewa umuhimu wa kutupa pesa.Kiongozi umelala nao umeamka nao dadeki, kombora kwa kombora.
ONE WOMAN ARMY no retreat no surrender 😂
Hahahahaha..mie spy master nakaaje kwenye reli ? Ukiona nimekaa kwenye reli ujue kuna mtu anaumizwa bila yy kujuaSafiiii,..ila dizain yako huwaga wajanja hamkai kabisa kwenye reli Kila mkisetiwa😁
Si ndiooo!La kawaida sana yanii. Kama ni water weave ni Nchi 14 grade 12A
Sikukuu ya Iddi iko mbioni kufika, nina mtoko wa kuanzia breakfast hadi dinner Hyatt na mashost zangu lazima tudress theme ya Idd, hakuna kuungua na jiko kila sikukuu bwana mara moja moja tupake henna tugonge 🥂Wee mrembo Abaya gani tena? Unani konfyuzi na kunichambua kama karanga 😂
View attachment 2945657
Kuhusu wigi la 300k no comment hapo najisachi 🏃♂️
Na mimi nataka mmoja anaetaka hela ila takuwa nampa afu tatu kila mwisho wa mweziNapenda sana ubongo wako upo sharp kuelewa mambo,jamani muelewe maana ya "Mtu wa maana"
Sisi wanaume tunapenda kuwapa hela, ila tatizo mnatuomba hela halafu papuchi hamtaki kutoa, so mwanaume unakuwa unajiskia kama unatumika, mngekua mnatuomba dushe kama mnavotuomba hela, izi thread za malalamiko msingeziona humu Joannah Mzigua90Ngoja niwaelimisha wataelewa tu faida ya kutupa Hela wabebez
I know fully We ni binti wa Yesu 😂 ndo maana nkatoa macho unataka abaya na ulipate tuuMind you, I’m not a Muslim. Making it worse??! 🤣
Pamoja.Binafsi kuna mda pesa yangu ina kua na mambo mengi kiasi kwamba una shindwa kumsaidia omba omba ata kama una tamani kumsaidia, ila tatizo lina kuja pale omba omba anapo hisi kanyimwa yani ana nuna utazani pesa yake [emoji28][emoji28]
Omba omba uhisi kama kupewa pesa ni haki yao na lazima [emoji81]
Umetoa location 😂😂, nkiwavamia kuwapiga telo ohoo 🔫 mana mtakua loaded!Sikukuu ya Iddi iko mbioni kufika, nina mtoko wa kuanzia breakfast hadi dinner Hyatt na mashost zangu lazima tudress theme ya Idd, hakuna kuungua na jiko kila sikukuu bwana mara moja moja tupake henna tugonge 🥂
Mind you, I’m not a Muslim. Making it worse??! 🤣
Amuna mywangu me hayo mambo wala sijui hataa😂We kukuripia hujui wapi wewe,check hapo ulivyonifokea,live ningejuta 😅😅
wataelewa tuNakazia
tunazama piemu mkuuHawa wanawake WA jamii forum
Nyie mnakutana nao vipi aisee
kuna wale wabishi hawaelewi hii kauliHii imekaa sawa sawia.
🤣🤣🤣🤣🤣Dah Wabongo mkisikia Hela mnakuwa mbogoAmuna mywangu me hayo mambo wala sijui hataa😂