Wee mrembo Abaya gani tena? Unani konfyuzi na kunichambua kama karanga 😂
View attachment 2945657

Kuhusu wigi la 300k no comment hapo najisachi 🏃‍♂️
Sikukuu ya Iddi iko mbioni kufika, nina mtoko wa kuanzia breakfast hadi dinner Hyatt na mashost zangu lazima tudress theme ya Idd, hakuna kuungua na jiko kila sikukuu bwana mara moja moja tupake henna tugonge 🥂

Mind you, I’m not a Muslim. Making it worse??! 🤣
 
Ngoja niwaelimisha wataelewa tu faida ya kutupa Hela wabebez
Sisi wanaume tunapenda kuwapa hela, ila tatizo mnatuomba hela halafu papuchi hamtaki kutoa, so mwanaume unakuwa unajiskia kama unatumika, mngekua mnatuomba dushe kama mnavotuomba hela, izi thread za malalamiko msingeziona humu Joannah Mzigua90
 
Pamoja.
 
Umetoa location 😂😂, nkiwavamia kuwapiga telo ohoo 🔫 mana mtakua loaded!
 
Sisi wanaume tunapenda kuwapa hela, ila tatizo mnatuomba hela halafu papuchi hamtaki kutoa, so mwanaume unakuwa unajiskia kama unatumika, mngekua mnatuomba dushe kama mnavotuomba hela, izi thread za malalamiko msingeziona humu Joannah Mzigua90
Binafsi Sina Hizo mbanga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…