ntundaga
Senior Member
- Sep 13, 2018
- 141
- 203
Well saidMAHUSIANO SIO SEHEMU YA KUINGIZA KIPATO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well saidMAHUSIANO SIO SEHEMU YA KUINGIZA KIPATO
Mwambie TANAPA wametangaza kazi,Kuna demu ananiomba laki 6 akalipe kodi, fala sana
Kutoa hela sio shida kama zipo.
Tatizo ni Mwanamke hata hamjafahamiana vizuri ashaanza kukuomba hela au kutangaza shida zake.
Hapo mwanaume inabidi ubadili mbinu maana unadili na muuzaji.
Kuna dada aliniacha hoi,yaani Kakutana na Mtu hawajamaliza hata wiki,akaomba laki Tano,ni dada anafanya kazi nzuri tu,nikaanza mcheka nikamwambia aisee umezidisha mbona ghafla sana,akajibu wewe huwajui Hawa,akishakuzoe keshakuonjaonja ndio hakupi kabisaaa,Bora ukiwa mpya bado wanakuwa na moto....nikanyoosha mikono juuKwa sisi wanawake kukuomba hela ni part ya kufahamiana pia [emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣Sasa si ndio unaweka heshima legend,yaani muamala ukisoma unakuwa unaheshimika muamala na mwenye muamala wakeUmenichekesha sana legend. Hela na iheshimiwe na kila mtu.
Hela zina kazi nyingi sana mama, haitolewi kizembe, hadi nione "value for money"! Lakini sitoi ili kubadilishana na papa, huwa sinunui direct🤣🤣🤣🤣🤣Sasa si ndio unaweka heshima legend,yaani muamala ukisoma unakuwa unaheshimika muamala na mwenye muamala wake
Hapana,Kuna tofauti ya kununua direct,na kumpa mpenziooo😅😅😅Hela zina kazi nyingi sana mama, haitolewi kizembe, hadi nione "value for money"! Lakini sitoi ili kubadilishana na papa, huwa sinunui direct🤣
Kuna dada aliniacha hoi,yaani Kakutana na Mtu hawajamaliza hata wiki,akaomba laki Tano,ni dada anafanya kazi nzuri tu,nikaanza mcheka nikamwambia aisee umezidisha mbona ghafla sana,akajibu wewe huwajui Hawa,akishakuzoe keshakuonjaonja ndio hakupi kabisaaa,Bora ukiwa mpya bado wanakuwa na moto....nikanyoosha mikono juu
😀😀 wanapiga vibomu..Uchoyo tu wanakua nao. Na siku hizi wanaomba wao pesa kwa wanawake
Hiyo hapana aisee,Mimi Nampenda yule wangu niliyemzoea kabisaIla ni kweli sema ndio inabidi uwe jasiri kutanguliza njaa mbele
Kwan adam aliumbwa na hela kila mtu atafute zake 😂Mwanamke hajawahi kuwa na hela bwana,we mpe pesa
Single mothers againJana ananiambia mtoto wake anaumwa.
Single mothers againYaani akipiga simu akisema bebi
Ndio mnawazalisha na kuwaacha, ukishakojolea ndani tu unamuona km FUNG'O hakuna cha Sura wala umboHuyu dem kapewa sura na umbo.
hahahahaNikitaka K nalipia yeye akitaka MBO_ o Nalipia
Ukishamwagia ndani unaona km ulilala na Mbuzi JikeInabidi nimpige tena mashine.