Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Habarini,

Juzi kati tulitembelewa na mdada mgeni toka taasisi ingine, alikuwa amekuja hapo kuchukua taarifa za mambo ya kikazi, sasa mkuu wangu wa kitengo aka-suggest tuliopo hapo tu-exchange namba na huyo mdada, nikampa huyo mdada namba yangu.

Baada ya dk 5 mdada akani-text kujitambulisha, akaniuliza mambo ya kiofisi, nikamjibu siku ikaisha.

Imepita zaidi ya wiki 2, nikaona namba ngeni inani-text, kuuliza nani akajitambulisha, akani-text nimpigie hana dakika, sikumpigia na sikumtilia maanani, nikaendelea na mishe zangu, baada ya hapo siku tatu mfululizo mtu anapiga simu kila mara (nlikuwa sizipokei) na text lukuki za salamu k.v mambo, vip, etc (nlikuwa sizijibu)

Siku ya nne anani-text vip, nkamwambia sina cha ziada cha kikazi nachoweza kumsaidia, hee akaniambia ana mambo binafsi tu anataka aniambie, akaomba nimuazime laki 1, yuko dar ana mgonjwa, nikamwambia hapana, kumjibu ivo, cha ajabu ananiuliza nitaweza kumpa sh ngapi nikamwambia live, sitaki na siwezi kumpa hela.

Embu nisaidieni jamani, kila mtu hua anapatwa na shida ya hela, ila kumuomba hela a total stranger mbona haiingii akilini, ni sawa wewe utoke hapa uende mahali uchukue namba ya mtu stranger humjui hakujui, halafu ndani ya wiki utegemee akupe laki 1, hio ni akili ya namna gani?? 😲😯

Heri hata ingekuwa nimeonesha dalili za kumshobokea na kutaka kumtongoza, wala hata sikuwa na wazo hilo. Mimi kwa uzoefu wangu nkipatwa na shida ya hela, nitaomba toka kwa ndugu, marafiki, co-workers, previous classmates, jirani, kote kukishindikana, naenda kupiga goti kwa Mungu. Huyo anaeomba laki 1 toka kwa a total stranger, na kutegemea kuwa atapewa, reasoning yake iko vipi? 😯😯

Bado naendelea kujifunza aisee, kuna mambo mengi bado siyajui.
 
Pole sana mkuu labda alikua na shida kweli huwezi jua.

NOTE: Wadada punguzeni kuomba hela
 
salamaleko !

kumeibuka wimbi kubwa la wanawake walioko kwenye ndoa kuomba omba pesa kwa kila mtu wanaefahamiana nae na kujitongozesha hovyo , mimi ni miongoni mwa wahanga wanaosumbuliwa na ombaomba hawa walioko kwenye ndoa za kimasikini. kama ni vipochi manyoya vyao tumevitafuna mpaka tumechoka, sasa hatuna budi tuwaeleze ukweli wazee, wapeni pesa hao wake zenu ,maana huku nje hata sisi tumewachoka sasa.

Mwanaume unashindwa kumpa mkeo walau hata laki 4 tu kila mwezi ya matumizi binafsi ya urembo , kununua mafuta , kusuka n.k , UNAOA ili iweje? wanawake hawana huruma wakiwa na njaa , msiseme sikuwaambia...Adios!!!!!
 
Wape pesa mkuu hao waume zao pia kuna chocho wanatoa pesa mkuu .
 
Wakuu Habari zenu!

Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela.

Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo ombaomba kuliko wewe mtu mzima tena umeolewa, unafanya kazi, pesa ya bando la WhatsApp unayo halafu unaomba pesa nyingine.

Hakuna mwanaume anayependa kutoa hela, maana wote mlipewa viuongo sawa, mikono, miguu, akili n.k ili mfanye kazi sasa, sasa nyie ni kuomba hela tu!

Utafiti usiyo rasmi
Asilimia kubwa wanaojiuza ni wanawake na ukiwauliza watakwambia wanashida na Fedha.

Sasa swali, mbona wanaume hawajiuzi kama nyie ili tu kupata pesa? Ina maana wanaume wana akili sana ya kutafuta pesa au ni vipi?

Ukweli mchungu, punguzeni tabia hii imekuwa kero.
Naunga mkonyo hojo yaani wamekuwa omba omba
 
Solution
 
Attachments

  • 20240709_094115.jpg
    20240709_094115.jpg
    105.8 KB · Views: 12
Wanawake inabidi mjifunze kujihudumia sio kila kitu tuwape pesa sio kila kitu.. mnatupa stress tu na kwa style hivi kupata haki sawa mambo ya 50/50 mtayaskia tu unakuta nikikuita geto unataka pesa ya nguo unataka pesa ya nauli na unataka ukifika geto ule vizuri kwa haraka haraka kidume inanitoka kama 30k uridhike na ukifika geto nikuridhishe kwa nini nisijirdhishe mimi tu na bado ukifika geto mnaondoka na jersey zetu za 25k mnachukulia easy tu... Ndio maana mi nikikuita geto mtoto wa mtu namfulisha nguo na mashuka na nakula mzigo kwa hasira pesa zangu zitumike kihalali
Hapo hamna mapenzi wote mpo kimkakati.
 
salamaleko !

kumeibuka wimbi kubwa la wanawake walioko kwenye ndoa kuomba omba pesa kwa kila mtu wanaefahamiana nae na kujitongozesha hovyo , mimi ni miongoni mwa wahanga wanaosumbuliwa na ombaomba hawa walioko kwenye ndoa za kimasikini. kama ni vipochi manyoya vyao tumevitafuna mpaka tumechoka, sasa hatuna budi tuwaeleze ukweli wazee, wapeni pesa hao wake zenu ,maana huku nje hata sisi tumewachoka sasa.

Mwanaume unashindwa kumpa mkeo walau hata laki 4 tu kila mwezi ya matumizi binafsi ya urembo , kununua mafuta , kusuka n.k , UNAOA ili iweje? wanawake hawana huruma wakiwa na njaa , msiseme sikuwaambia...Adios!!!!!
Kha! Watu mna hela yaani demu mke umpe laki nne kwa ajiri ya matumizi binafsi waki hiyo wengine budget ya miezi mitatu
 
Kha! Watu mna hela yaani demu mke umpe laki nne kwa ajiri ya matumizi binafsi waki hiyo wengine budget ya miezi mitatu
Ni utofauti wa kipato na moyo wa utoaji. Kuna wanaotoa zaidi ya hiyo na wala hawaoini shida sababu hela ipo.
 
Ni utofauti wa kipato na moyo wa utoaji. Kuna wanaotoa zaidi ya hiyo na wala hawaoini shida sababu hela ipo.
Dah. Basi kwa style hiyo mie naona nimpandishe cheo revola kutoka kipozeo hadi kuwa mke maana naoa kwa kipata changu siwezi miliki pisi kali kama mke
 
Back
Top Bottom