Kutokana na changamoto za ajira n.k, mwanaume amekuwa akibebeshwa mzigo mzito wa punda kwa kisingizio cha kudumisha mapenzi.
Je, unapambana vipi na mwanamke anaye omba omba hela kwa kisingizio cha kukupa mapenzi?
Yeye kila kitu ni kuomba omba hela;
Ukitaka akufariji, yeye anataka hela
Ukitaka akupe tendo yeye anataka hela
Ukitaka mtoke 'out', yeye anataka hela
Ukitaka m-'chat', yeye anataka hela
Ukitaka akuite kimapenzi, yeye anataka hela
Awe na hisia na wewe, yeye anataka hela kwanza
Na mtu wa namna hii, unamchukuliaje katika mahusiano yako?