Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Kuna kauli moja nilishawahi kupewa ilikuwa imekaa kibabe sana niliambiwa hivi

"Ukiwa namimi sitaki uniambie hauna hela!".

Halafu ubaya penzi sikulifata!, yeye mwenyewe ndo alilitafuta!, baada ya hiyo kauli sidhani hata kama tulimaliza wiki ikaja kauli nyengine ambayo ndo ilikuwa yamwisho ati "Kumbe we ni kijana wa hovyo hivi!"... 🤣

nahisi hivi viumbe vilitokea jupiter kama sio Saturn!.
Ungemjibu nawe uwe na tako sura titi
 
Back
Top Bottom