SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Huna hizo hela wanawake wanakutunza tu huna seraKutokana na changamoto za ajira n.k, mwanaume amekuwa akibebeshwa mzigo mzito wa punda kwa kisingizio cha kudumisha mapenzi.
Je, unapambana vipi na mwanamke anaye omba omba hela kwa kisingizio cha kukupa mapenzi?
Yeye kila kitu ni kuomba omba hela; Ukitaka akufariji, yeye anataka hela Ukitaka akupe tendo yeye anataka hela Ukitaka mtoke 'out', yeye anataka hela Ukitaka m-'chat', yeye anataka hela Ukitaka akuite kimapenzi, yeye anataka hela Awe na hisia na wewe, yeye anataka hela kwanza
Na mtu wa namna hii, unamchukuliaje katika mahusiano yako?
Wengi ndio wapo hivyoDah mbona huyo ni dadapoa mgando
Wanaamini wanaume ndio wakubebeshwa huo mzigo, wao wakiwa wanapulizwa na kiyoyozi.Mwambie atafute kazi
Then huyo sio mwanamke wako mkuu, inatakiwa ukaenae mbali kama ukomaUkimwambia huna, unapigwa chini
Mpenda maweNgoja aje
Qashy Lilith
Ndivyo inavyotakiwaView usimjibu
Mwingine huyu hapaHuna hizo hela wanawake wanakutunza tu huna sera
Hali imekuwa mbaya sanaMpka nmeogopa kutongoza yaani mahusiano yana siku moja tu mtu ana anza kutuma invoice
notedDon't invest on women until your 90x better than her
Risk what you can afford to lose
Yah au kam kuna sms nyingine alituma inatakiwa kujibu ambayo sio ya pesa unaijibu iyo af ile ya pesa kimyaNdivyo inavyotakiwa
Si tulikubaliana iwe Siri Jamani 😅😅mambo gani sasa hayaKutokana na changamoto za ajira n.k, mwanaume amekuwa akibebeshwa mzigo mzito wa punda kwa kisingizio cha kudumisha mapenzi.
Je, unapambana vipi na mwanamke anaye omba omba hela kwa kisingizio cha kukupa mapenzi?
Yeye kila kitu ni kuomba omba hela; Ukitaka akufariji, yeye anataka hela Ukitaka akupe tendo yeye anataka hela Ukitaka mtoke 'out', yeye anataka hela Ukitaka m-'chat', yeye anataka hela Ukitaka akuite kimapenzi, yeye anataka hela Awe na hisia na wewe, yeye anataka hela kwanza
Na mtu wa namna hii, unamchukuliaje katika mahusiano yako?
Kuachana naye mapema kunaepusha mengi, ila kuna wengine walifika nao mpaka kwenye ndoa; ambao kwa sasa wanateseka kwenye ndoa.Unaanzaje mapambano na mtu ambaye mmekutana ukubwani....utahangaika na mangapi....mimi naona uzuri ni kuachana naye tu
🤣🤣🤣Si tulikubaliana iwe Siri Jamani 😅😅mambo gani sasa haya
Upigwe TU atafutwe mtu mwinginee wa kuchunwaUkimwambia huna, unapigwa chini
Wenye sifa za kuolewa kwa sasa, ni vigumu kuwapataOa kijana...