Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Mbona mobeto anaolewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio mana huwa nasema wanaume kuna mahala mnatofautiana. Na Hamisa yule haombi elfu mbili mbili hizi zinazowafanya watu wanalalamika humu kila leo yule lazima kizinga chake ni hela ndefu na bado kapata mume. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Wapo tena wengi tu. Wanaume kuna engo hamfanani, wewe unajionea kero mwanamke omba omba kwa sababu unazojijua wewe lkn kuna wanaume wengine sio tatizo kwao na hasa ukute hela wanazo.
Tukija kwenye Tanzania population, ni wanaume wachache sana Wana hizo hela ambazo ni halali (sio za kichawi) za kuwa comfortable kuombwa ombwa na wadada wanaodate nao, labda mwanaume uwe na kipato cha Dr mwaka, au Yusuf bakhresa 😁, majority ya wanaume kiuchumi ni unga unga mwana,

Naamini wanaume wengi hapa bongo hata uhakika wa tsh laki 3 kwa mwezi toka kwenye biashara au kazi hawana, natamani niende kwenye ofisi ya taifa ya takwimu nbs nipate data kuhusu kipato cha watanzania haswa wanaume Kelsea
 
Ndio mana huwa nasema wanaume kuna mahala mnatofautiana. Na Hamisa yule haombi elfu mbili mbili hizi zinazowafanya watu wanalalamika humu kila leo yule lazima kizinga chake ni hela ndefu na bado kapata mume. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Tatizo sio kuombwa hela my valentines, ishu uzuri unaendana na mizinga yako.
Mobeto sii u aona tako titi sura vyote vipo.
 
Mshahara wa azizi ki kwa mwezi ni tsh million 27 ($10,000) sasa wanaume wangapi hapa tz Wana huo mshahara, na unajua azizi ki amefanya uchawi gani mpaka akafika stage ya kuwa mcheza mpira anaelipwa pesa hiyo

Hapa tz mwanaume hata ukilipwa 1 million tsh kwa mwezi, huwezi hata maintain kuendesha Subaru Forester, bado kuna namna inatakiwa ujibane bane, la sivyo mshahara haumalizi wiki 2 😅 Kelsea
 
Azizi ki aidha ni boya, au kapewa sharti la kumuoa mobeto, mbona dar kuna pisi kali kuliko huyo mobeto mzabzab
 
Mshahara wa azizi ki kwa mwezi ni tsh million 27 ($10,000) sasa wanaume wangapi hapa tz Wana huo mshahara, na unajua azizi ki amefanya uchawi gani mpaka akafika stage ya kuwa mcheza mpira anaelipwa pesa hiyo

Hapa tz mwanaume hata ukilipwa 1 million tsh kwa mwezi, huwezi hata maintain kuendesha Subaru Forester, bado kuna namna inatakiwa ujibane bane, la sivyo mshahara haumalizi wiki 2 😅 Kelsea
Ukweli mtupu. Mishahara ya laki saba alafu demu anataka kusuka nywele za buku 60 sii majanga hayo jamani.
Sasa mil 27 mzeya aii unahonga tuu demu akiomba hela.

Wee kama kidume chako akupi hela kasake wanaoweza kukupa hiyo hela unayotaka maana wapo. Kelsea
 
Tatizo sio kuombwa hela my valentines, ishu uzuri unaendana na mizinga yako.
Mobeto sii u aona tako titi sura vyote vipo.
Kumbe kuomba hela imekua sio ishu tena? Ila nachojua mwanaume anatoa hela kwa mwanamke anaempenda hata kama anazo kidogo hizo hizo atazigawa na mwenzake apate.
 
Sawa ndio sasa uombe hela kulingana na uwezo wa bwana wako.
Sio bwana wako mshahara 700k wee unataka akupe iphone.
Golden rule, usiombe zaidi ya 5% ya mshahara wa kidume chako.

Alafu bwa a maisha tunayacomplicate tuu. Wee kama unataka mwanaume muhongaji wapo tuu ni suala la wewe kuwatafuta
 
Ukiona Unaombwa Ela Ujue Na Wewe Una Shobo.Mi Nimetega Hapa Sitongozi Mpaka Mdada Anitongoze Mwenyewe Maana Yeye Ndo Itabidi Aendeshe Mahusiano Maana Kayataka Mwenyewe
Kinyume Na Hapo Nagegeda Mke Wangu Maisha Yanasonga.
Ukiona mwanamke anakuomba omba hela mara tu baada ya mahusiano jua hajakupenda bali amekubali kuwa na wewe kwa maslahi hayo, probably na wewe pia hujampenda bali umemtamani tu.

Ila ukiona kila mwanamke unaeanzisha mahusiano nae anakuomba pesa, yani hawakuachi upumue ... jua mzee baba wewe tayari ushatoka kwenye stage ya kupendwa na sasa upo kwenye stage ya kuhitajika. Hivi kweli haupo kwenye late 30s and above? na vidada unavyotongoza vitakuwa ni vile vya 20s (yani kimsingi hivo vidada havitamani kuwa na future na wewe, period)
 
Ukweli mtupu. Mishahara ya laki saba alafu demu anataka kusuka nywele za buku 60 sii majanga hayo jamani.
Sasa mil 27 mzeya aii unahonga tuu demu akiomba hela.

Wee kama kidume chako akupi hela kasake wanaoweza kukupa hiyo hela unayotaka maana wapo. Kelsea
Kwani ni wanawake wote wanataka vitu vya ghali hivyo? Wapo ukimpea hela ya kusuka buku 5 tu inamtosha.
 
Hao sie wala hatuwapigii kelele ujue. Tunaolalamika ninwale too much demanding mpaka anataka kukufilisi
 
Mshahara wa azizi ki kwa mwezi ni tsh million 27 ($10,000) sasa wanaume wangapi hapa tz Wana huo mshahara, na unajua azizi ki amefanya uchawi gani mpaka akafika stage ya kuwa mcheza mpira anaelipwa pesa hiyo

Hapa tz mwanaume hata ukilipwa 1 million tsh kwa mwezi, huwezi hata maintain kuendesha Subaru Forester, bado kuna namna inatakiwa ujibane bane, la sivyo mshahara haumalizi wiki 2 [emoji28] Kelsea

Wanaume levels za maisha zipo tofauti, kuna mtu ni wa laki 2 na bado atampa mwanamke wake hiyo hiyo kidogo. Unaongelea subaru? mwingine yuko na baiskeli na hiyo ndio uwezo zake na anaishi bado. Unadhani kumpa hela mwanamke ni mpaka iwe laki kadhaa ama milioni kadhaa? Hela hiyo aliyonayo mwanaume wake hata kama ni buku 10 akimpa buku 2 inatosha. Na hawa ni watu wanaofanana sio mtu choka mbaya unataka mwanamke wa gharama hamna namna mtaenda sawa.
 
Back
Top Bottom