Ndio mana huwa nasema wanaume kuna mahala mnatofautiana. Na Hamisa yule haombi elfu mbili mbili hizi zinazowafanya watu wanalalamika humu kila leo yule lazima kizinga chake ni hela ndefu na bado kapata mume. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.Mbona mobeto anaolewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukija kwenye Tanzania population, ni wanaume wachache sana Wana hizo hela ambazo ni halali (sio za kichawi) za kuwa comfortable kuombwa ombwa na wadada wanaodate nao, labda mwanaume uwe na kipato cha Dr mwaka, au Yusuf bakhresa 😁, majority ya wanaume kiuchumi ni unga unga mwana,Wapo tena wengi tu. Wanaume kuna engo hamfanani, wewe unajionea kero mwanamke omba omba kwa sababu unazojijua wewe lkn kuna wanaume wengine sio tatizo kwao na hasa ukute hela wanazo.
Tatizo sio kuombwa hela my valentines, ishu uzuri unaendana na mizinga yako.Ndio mana huwa nasema wanaume kuna mahala mnatofautiana. Na Hamisa yule haombi elfu mbili mbili hizi zinazowafanya watu wanalalamika humu kila leo yule lazima kizinga chake ni hela ndefu na bado kapata mume. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Mshahara wa azizi ki kwa mwezi ni tsh million 27 ($10,000) sasa wanaume wangapi hapa tz Wana huo mshahara, na unajua azizi ki amefanya uchawi gani mpaka akafika stage ya kuwa mcheza mpira anaelipwa pesa hiyoNdio mana huwa nasema wanaume kuna mahala mnatofautiana. Na Hamisa yule haombi elfu mbili mbili hizi zinazowafanya watu wanalalamika humu kila leo yule lazima kizinga chake ni hela ndefu na bado kapata mume. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Ukweli mtupu. Mishahara ya laki saba alafu demu anataka kusuka nywele za buku 60 sii majanga hayo jamani.Mshahara wa azizi ki kwa mwezi ni tsh million 27 ($10,000) sasa wanaume wangapi hapa tz Wana huo mshahara, na unajua azizi ki amefanya uchawi gani mpaka akafika stage ya kuwa mcheza mpira anaelipwa pesa hiyo
Hapa tz mwanaume hata ukilipwa 1 million tsh kwa mwezi, huwezi hata maintain kuendesha Subaru Forester, bado kuna namna inatakiwa ujibane bane, la sivyo mshahara haumalizi wiki 2 😅 Kelsea
🤣🤣🤣 Wee uwezi jua anaoewa nini mwanawane....haya mambo ya vyumbani ya siri nyingiAzizi ki aidha ni boya, au kapewa sharti la kumuoa mobeto, mbona dar kuna pisi kali kuliko huyo mobeto mzabzab
Kumbe kuomba hela imekua sio ishu tena? Ila nachojua mwanaume anatoa hela kwa mwanamke anaempenda hata kama anazo kidogo hizo hizo atazigawa na mwenzake apate.Tatizo sio kuombwa hela my valentines, ishu uzuri unaendana na mizinga yako.
Mobeto sii u aona tako titi sura vyote vipo.
Sawa ndio sasa uombe hela kulingana na uwezo wa bwana wako.Kumbe kuomba hela imekua sio ishu tena? Ila nachojua mwanaume anatoa hela kwa mwanamke anaempenda hata kama anazo kidogo hizo hizo atazigawa na mwenzake apate.
Ukiona mwanamke anakuomba omba hela mara tu baada ya mahusiano jua hajakupenda bali amekubali kuwa na wewe kwa maslahi hayo, probably na wewe pia hujampenda bali umemtamani tu.Ukiona Unaombwa Ela Ujue Na Wewe Una Shobo.Mi Nimetega Hapa Sitongozi Mpaka Mdada Anitongoze Mwenyewe Maana Yeye Ndo Itabidi Aendeshe Mahusiano Maana Kayataka Mwenyewe
Kinyume Na Hapo Nagegeda Mke Wangu Maisha Yanasonga.
Klynn siio unaona pisi ileWewe mwanamke wako mzuri kuliko Mobetto yuko wapi?
Kwani ni wanawake wote wanataka vitu vya ghali hivyo? Wapo ukimpea hela ya kusuka buku 5 tu inamtosha.Ukweli mtupu. Mishahara ya laki saba alafu demu anataka kusuka nywele za buku 60 sii majanga hayo jamani.
Sasa mil 27 mzeya aii unahonga tuu demu akiomba hela.
Wee kama kidume chako akupi hela kasake wanaoweza kukupa hiyo hela unayotaka maana wapo. Kelsea
Hao sie wala hatuwapigii kelele ujue. Tunaolalamika ninwale too much demanding mpaka anataka kukufilisiKwani ni wanawake wote wanataka vitu vya ghali hivyo? Wapo ukimpea hela ya kusuka buku 5 tu inamtosha.
Mshahara wa azizi ki kwa mwezi ni tsh million 27 ($10,000) sasa wanaume wangapi hapa tz Wana huo mshahara, na unajua azizi ki amefanya uchawi gani mpaka akafika stage ya kuwa mcheza mpira anaelipwa pesa hiyo
Hapa tz mwanaume hata ukilipwa 1 million tsh kwa mwezi, huwezi hata maintain kuendesha Subaru Forester, bado kuna namna inatakiwa ujibane bane, la sivyo mshahara haumalizi wiki 2 [emoji28] Kelsea
Sawa sawa.Hao sie wala hatuwapigii kelele ujue. Tunaolalamika ninwale too much demanding mpaka anataka kukufilisi
Ndiooo pisikali yake hiyo anahudumia viziri sii unaona mrembo anavyo wakaNdio pisi ya Balqior?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaota eti?Ndiooo pisikali yake hiyo anahudumia viziri sii unaona mrembo anavyo waka