Nyie bwana sasa kila wanaume wabaya mnakutana nao nyie. Wabahiri nyie wanuka pumbuz nyie tdh but wagegedaji tuu nyie loh! Mkakoge bahari mtoe gundu au njoo kwangu. Utaburudika hela ya soda wine kuku salon 50k utapata na mbupuz hazinuki😜Wengine tuna nyota za bundi mwanaume hawezi kutoa hata hela ya soda [emoji23]
Kivipi ndio pisi yake hiyo wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaota eti?
Kuna mmoja mimi aliniomba hela ya umeme, mara anakufa njaa, siku nikakatoa out eti kanasema hakanywagi bia kanakunywa desperado pekee, siku moja akasahau akaposti status whatsapp akiwa na wenzake na ma bia yao, nikakauliza desperado iko wapi??Wakuu Habari zenu!
Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela.
Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo ombaomba kuliko wewe mtu mzima tena umeolewa, unafanya kazi, pesa ya bando la WhatsApp unayo halafu unaomba pesa nyingine.
Hakuna mwanaume anayependa kutoa hela, maana wote mlipewa viuongo sawa, mikono, miguu, akili n.k ili mfanye kazi sasa, sasa nyie ni kuomba hela tu!
Utafiti usiyo rasmi
Asilimia kubwa wanaojiuza ni wanawake na ukiwauliza watakwambia wanashida na Fedha.
Sasa swali, mbona wanaume hawajiuzi kama nyie ili tu kupata pesa? Ina maana wanaume wana akili sana ya kutafuta pesa au ni vipi?
Ukweli mchungu, punguzeni tabia hii imekuwa kero.
ChaiTukija kwenye Tanzania population, ni wanaume wachache sana Wana hizo hela ambazo ni halali (sio za kichawi) za kuwa comfortable kuombwa ombwa na wadada wanaodate nao, labda mwanaume uwe na kipato cha Dr mwaka, au Yusuf bakhresa 😁, majority ya wanaume kiuchumi ni unga unga mwana,
Naamini wanaume wengi hapa bongo hata uhakika wa tsh laki 3 kwa mwezi toka kwenye biashara au kazi hawana, natamani niende kwenye ofisi ya taifa ya takwimu nbs nipate data kuhusu kipato cha watanzania haswa wanaume Kelsea
Hahahahahah 🤣 🤣 🤣 ni kweliii mkuu wengi wao wanazalishwaga na kuachwaaaIla Wana nina swali, katika Tongoza tongoza yenu mshawahi kuona mdada anaeomba omba pesa amekuja kuolewa baadae au hata anakua kwenye uchumba serious, mm binafsi sijawahi ona mdada omba omba aliekuja olewa, mara nyingi wanaishia kua single mothers Equation x mzabzab Cassnzoba KENZY Extrovert Donatila realMamy Red black
🤣🤣🤣🤣🤣 AkajibujeKuna mmoja mimi aliniomba hela ya umeme, mara anakufa njaa, siku nikakatoa out eti kanasema hakanywagi bia kanakunywa desperado pekee, siku moja akasahau akaposti status whatsapp akiwa na wenzake na ma bia yao, nikakauliza desperado iko wapi??
Inategemea na kipato cha huyo mwanaume, jinsi alivokupenda, hulka yake, uzoefu wake kwenye mahusiano yaliyopita, na jinsi unavom-treat,Wengine tuna nyota za bundi mwanaume hawezi kutoa hata hela ya soda [emoji23]
Unaniuliza Mimi Au Unaniambia?Ukiona mwanamke anakuomba omba hela mara tu baada ya mahusiano jua hajakupenda bali amekubali kuwa na wewe kwa maslahi hayo, probably na wewe pia hujampenda bali umemtamani tu.
Ila ukiona kila mwanamke unaeanzisha mahusiano nae anakuomba pesa, yani hawakuachi upumue ... jua mzee baba wewe tayari ushatoka kwenye stage ya kupendwa na sasa upo kwenye stage ya kuhitajika. Hivi kweli haupo kwenye late 30s and above? na vidada unavyotongoza vitakuwa ni vile vya 20s (yani kimsingi hivo vidada havitamani kuwa na future na wewe, period)