Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Wengine tuna nyota za bundi mwanaume hawezi kutoa hata hela ya soda [emoji23]
Nyie bwana sasa kila wanaume wabaya mnakutana nao nyie. Wabahiri nyie wanuka pumbuz nyie tdh but wagegedaji tuu nyie loh! Mkakoge bahari mtoe gundu au njoo kwangu. Utaburudika hela ya soda wine kuku salon 50k utapata na mbupuz hazinuki😜
Wee muhimu nisusie mbususu
 
Wakuu Habari zenu!

Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela.

Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo ombaomba kuliko wewe mtu mzima tena umeolewa, unafanya kazi, pesa ya bando la WhatsApp unayo halafu unaomba pesa nyingine.

Hakuna mwanaume anayependa kutoa hela, maana wote mlipewa viuongo sawa, mikono, miguu, akili n.k ili mfanye kazi sasa, sasa nyie ni kuomba hela tu!

Utafiti usiyo rasmi
Asilimia kubwa wanaojiuza ni wanawake na ukiwauliza watakwambia wanashida na Fedha.

Sasa swali, mbona wanaume hawajiuzi kama nyie ili tu kupata pesa? Ina maana wanaume wana akili sana ya kutafuta pesa au ni vipi?

Ukweli mchungu, punguzeni tabia hii imekuwa kero.
Kuna mmoja mimi aliniomba hela ya umeme, mara anakufa njaa, siku nikakatoa out eti kanasema hakanywagi bia kanakunywa desperado pekee, siku moja akasahau akaposti status whatsapp akiwa na wenzake na ma bia yao, nikakauliza desperado iko wapi??
 
Tukija kwenye Tanzania population, ni wanaume wachache sana Wana hizo hela ambazo ni halali (sio za kichawi) za kuwa comfortable kuombwa ombwa na wadada wanaodate nao, labda mwanaume uwe na kipato cha Dr mwaka, au Yusuf bakhresa 😁, majority ya wanaume kiuchumi ni unga unga mwana,

Naamini wanaume wengi hapa bongo hata uhakika wa tsh laki 3 kwa mwezi toka kwenye biashara au kazi hawana, natamani niende kwenye ofisi ya taifa ya takwimu nbs nipate data kuhusu kipato cha watanzania haswa wanaume Kelsea
Chai
 
Kuna mmoja mimi aliniomba hela ya umeme, mara anakufa njaa, siku nikakatoa out eti kanasema hakanywagi bia kanakunywa desperado pekee, siku moja akasahau akaposti status whatsapp akiwa na wenzake na ma bia yao, nikakauliza desperado iko wapi??
🤣🤣🤣🤣🤣 Akajibuje
 
hawa viumbe ni hatari sana, yani leo hata sijaamka vizuri nimepokea simu kuna mpuuzi anaomba 50k bila ya hata aibu
 
Wengine tuna nyota za bundi mwanaume hawezi kutoa hata hela ya soda [emoji23]
Inategemea na kipato cha huyo mwanaume, jinsi alivokupenda, hulka yake, uzoefu wake kwenye mahusiano yaliyopita, na jinsi unavom-treat,

Huwezi ni-treat kama nyani, unanijibu kunya halafu nikupe hela ya lunch, kama mbuzi mmoja juzi alinjibu vibaya ilhali sijawahi mkosea, baada ya dk 3 ananiomba hela ya lunch

Sijui alinionaje mbwa yule 😅 Kelsea
 
Fanya research zako zooote Kisha utakuja kukubaliana namimi.

Wengi wa wanaume walio firisika % kubwa wanawake vimeo wauza uchi walihusika pakubwa sana.

Wengi wa wanaume walio anguka iwe kazini kiuchumi nk wasababishi ni wanawake.

Ni mara chache sana mwanaume kufirisiwa na mwanaume mwenzake labda atapeliwe tu na hii kwenye kumi utakuta mmoja wawili ama hamna kabisa.


Sihitaji kuandika mengi ukweli ndo huo.

NB: MWANAUME UKIPENDA CHUPI ANGUKO LAKO LIPO MLANGONI.
FB_IMG_1739352892293.jpg
 
Ukiona mwanamke anakuomba omba hela mara tu baada ya mahusiano jua hajakupenda bali amekubali kuwa na wewe kwa maslahi hayo, probably na wewe pia hujampenda bali umemtamani tu.

Ila ukiona kila mwanamke unaeanzisha mahusiano nae anakuomba pesa, yani hawakuachi upumue ... jua mzee baba wewe tayari ushatoka kwenye stage ya kupendwa na sasa upo kwenye stage ya kuhitajika. Hivi kweli haupo kwenye late 30s and above? na vidada unavyotongoza vitakuwa ni vile vya 20s (yani kimsingi hivo vidada havitamani kuwa na future na wewe, period)
Unaniuliza Mimi Au Unaniambia?
 
Back
Top Bottom