Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Kinachoponza wanawake ni kutaka kuishi maisha yanayozidi kipato chake. Na kinachoponza wanaume ni kutaka mwanamke bila kumhudumia,,kila mtu acheze viwanja vyake na Kila mtu ashinde mechi zake hakuna atakaekuwa analalamika hivi Kila siku
 
Mwanamke ukiona anakuomba sana hela jua hajakupenda ila antaka apate tag kutoka kwako...

mwanamke anaekupenda kwa dhati hawezi kukuomba hela Kila mara kwa sababu zifuatazo.

1. Kutokana na upendo wake wa dhati kwako anaona aibu kukuomba hela hata kama anashida kiasi gani atatafuta namna nyingine ya kutatua shida yake.

2 .kutokana na upendo wake Wa dhati ataogopa kukuomba hela kwa kuhofia kukupoteza maana anajua inaweza kupelekea mwanaume kumuacha.
Sawa kabisa Joseverest
 
Kinachoponza wanawake ni kutaka kuishi maisha yanayozidi kipato chake. Na kinachoponza wanaume ni kutaka mwanamke bila kumhudumia,,kila mtu acheze viwanja vyake na Kila mtu ashinde mechi zake hakuna atakaekuwa analalamika hivi Kila siku
Hizo kauli zinanikwaza Sana "bila kuhudumia" sasa nakuhudumia wewe kwa misingi ya kunipa K? Au kuna lingine?

Ile Starehe NI wote sasa inakuwaje mwanaume ndo ahudumie? Mmejilemaza sana bila Wanaume, mwanamke awezi kitu maishani mwake

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom