Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi utatoa kweli
Duh...kama umenihukumu kwa hao watatu niombe radhi mkuu..love is caring and caring is sharing..ndio ninavofanya..hao watatu ni kama punje mbili kwenye gunia la mahindi [emoji16][emoji16][emoji16]Haujatulia. wanawake wote wako!!!!
Sawa kabisa JoseverestMwanamke ukiona anakuomba sana hela jua hajakupenda ila antaka apate tag kutoka kwako...
mwanamke anaekupenda kwa dhati hawezi kukuomba hela Kila mara kwa sababu zifuatazo.
1. Kutokana na upendo wake wa dhati kwako anaona aibu kukuomba hela hata kama anashida kiasi gani atatafuta namna nyingine ya kutatua shida yake.
2 .kutokana na upendo wake Wa dhati ataogopa kukuomba hela kwa kuhofia kukupoteza maana anajua inaweza kupelekea mwanaume kumuacha.
Ukiona mwanaume hakupi hela ujue wee sio pisi kali. Wanaume wote kwa pisi kali hatui wabahili.[emoji1][emoji1][emoji1]nimeipenda hii
Maana kiukweli wenye Hela zao hata hawalalamiki wanatoa tu!
Hizo kauli zinanikwaza Sana "bila kuhudumia" sasa nakuhudumia wewe kwa misingi ya kunipa K? Au kuna lingine?Kinachoponza wanawake ni kutaka kuishi maisha yanayozidi kipato chake. Na kinachoponza wanaume ni kutaka mwanamke bila kumhudumia,,kila mtu acheze viwanja vyake na Kila mtu ashinde mechi zake hakuna atakaekuwa analalamika hivi Kila siku
Ukija room nakupa vizuri na bolt nakuitia.. ila upo sijui wapi huko hahaha kata simu kata simuHivi utatoa kweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiona mwanaume hakupi hela ujue wee sio pisi kali. Wanaume wote kwa pisi kali hatui wabahili.
Tuelezane ukweli jameni.
Yani nyiee 🙌Tuelezane ukweli jameni.
Wee utampa hela mwanamke ng'ong'ozo?
Vile vile mwanamke ata mpa mbususu mwanaume mwenye hela
Tuelezane makavu live tuu. Hapana kupepesa macho. Kuna vita kali sana ya maneno kati ya hawa viumbe wawili. Uzuri wake wote utamu wa asali wanautaka🤣🤣🤣🤣🤣Yani nyiee 🙌
Kama ni ng'ong'ozo ulimtongoza wa nini?Tuelezane makavu live tuu. Hapana kupepesa macho. Kuna vita kali sana ya maneno kati ya hawa viumbe wawili. Uzuri wake wote utamu wa asali wanautaka🤣🤣🤣🤣🤣
Hawezi kufilisika kwasababu anatoa bila kinyongo,Asipoangalia biashara itafilisika ngoja aendelee kucheka na manyani!
Sijui mjini alikuja lini yule?!
Sorry[emoji23]Duh...kama umenihukumu kwa hao watatu niombe radhi mkuu..love is caring and caring is sharing..ndio ninavofanya..hao watatu ni kama punje mbili kwenye gunia la mahindi [emoji16][emoji16][emoji16]
Kipeth?mfano huyu yaani Elfu 5 tu inamshinda dah Wanawake aisee Keroo sana... kwa usawa huu unaomba Elfu[emoji23] dah njaa sanaView attachment 2297807
Sijaenda jeshi kwahiyo nimefeli maisha au?maisha ni kama jeshi... umeenda jeshini wewe?
Hao sii ndio easy target bwana wewe...kila mtu anatafuta unafuu hapa duniani🤣🤣🤣🤣Kama ni ng'ong'ozo ulimtongoza wa nini?
Vitu vingine mviache vipite